shule

  1. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Shule ya Sekondari Uvinza wakamilika

  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media. Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu. Wizara...
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania Ofa ya viwanja Kibaha kwa Mathias

    Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami Vipo vya Km km 6-Kutoka lami Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika Bei Ukubwa kuanzia: *million 2 ukubwa 16×13 *Milion 2.5 ukubwa 15×16 *Milion 3 ukubwa 15x19 *Milion...
  6. Sonship

    JamiiForums Tanzania Eneo la heka shule inauzwa

    📍 Kimara Mwisho – Dar es Salaam 💰 BEI: TZS MILIONI 800 🚫 Hakuna Udalali • Mauzo ni ya Mmiliki Mwenyewe 🏫 *MAELEZO YA MUHIMU KUHUSU NDANI YA SHULE (DAYCARE ) Eneo linauzwa likiwa ndani ya uzio (fence) na lina miundombinu yote ya kisasa: ✔️ Madarasa ya kisasa kwa matumizi ya Daycare ✔️...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni kama anatoa shule ya kuripoti habari isiyokuwa na upendeleo huku akizidi kujipatia umaarufu Tanzania

    Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  9. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

    Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  13. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Baraza la mitihani limetangaza marekebisho ya majina ya watoto wa shule za msingi na sekondari

  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Namna shule za sasa zinavyoiua elimu yetu. Zimekaa kitapeli sana

    Wakuu I salute you kinsmen.. Ukiachana na kwamba na mimi nasomesha pia ila pia nimekuwa nikifuatilia sana jambo hili linapoelekea naona sio pazuri kabisa nchi itaanguka. Well Hizi shule za sasa hasa hizi za mabasi ya njano tunazomesha watoto wetu ni za kitapeli sana nowdays.. 1: kwanini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

    Sitashangaa ukute Task Force inapanga kumteka Askofu Yuda Tadei Ruwa'ichi kwa sababu amezungumzia kuhusu utekaji. Adui unayemuweza, usiamuachie Mungu 2910. By Vicensia Shule
  16. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri

    Habari wana Jamii. Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri. Asante
  17. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua shule ya sekondari

    Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu, nataka kufungua sekondari vipi biashara katika sector ya elimu hasa sekondari Ikoje. Taratibu zipi zakufuata kufungua sekondari na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto.
  20. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania JKT ni Shule ya Uongozi na Uzalendo

    Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
Back
Top Bottom