Napenda kutoa shukurani zangu kwa Wana JF wote, Mlionipa ushauri, juu ya njia panda niliyokuwepo. Maumivu ya Mapenzi na hisia niliyo kuwa nayo, na washukuru sana. Sasa nimeamua kuwa mtu huru, na Kaa Kandi kabisa na mpenzi mana yataharibu ndoto zangu.
Ila ila, nalipa kisasi kwa huyu binti kwa...