Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote wabinafsi na hawana shukrani.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.

Kuna shuhuda nyingi za wanaume waliowakuta wanawake katika hali mbaya wakajitolea kuwasaidia lakini wakajikuta walipwa kwa kusingiziwa kesi. Shukrani ya punda ni mateke. Mwanamke ni nyoka ibilisi jifanye kujipendekeza utajikuta mahala pabaya.
 
Nagongelea msumari kukazia..Toa neno mpenzi kisha weka mwanamke
IMG_20220603_155503.jpg
 
Kuna mmoja ananisumbua mara baridi imezidi, nimemwambia nunua blanket, maana najua anataka hela tu, na njia rahisi ni mimi kujifanya nina nyeghe mshindo 🤣 🤣 🤣 🤣

This time atashangaa maana last week alianza kulalamika hajalipwa mshahara.
 
Mkuu nimekuelewa vyema Sana bandiko lako.

Mwanamke ni mdudu hatari zaidi ya Nyoka.
Utajitoa kwake na mwisho wa siku atakudhuru.

Wanaume 90% tunapata matatizo ktk dunia hii sababu ya wanawake.
-jela.
-kutafuta pesa kwa nguvu,
Tena kwa style yeyote.
--kurudi nyuma ktk maisha.
--kudhulumu vya watu.
 
For your information.. hakuna mtu katili kama wanawake.
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata wanatoto wangu (wote madume) nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI.
 
Kuna mwamba yy hakuna mwanamke anayemwamini zaidi ya mamaake mzazi. Anaishi na mke lakini hamuamini kivile anasema wanawake sio watu wa kuaminika sana anaweza kukupa mshangao wa mwaka dakika yoyote.
 
Kuna mmoja ananisumbua mara baridi imezidi, nimemwambia nunua blanket, maana najua anataka hela tu, na njia rahisi ni mimi kujifanya nina nyenghe mshindo 🤣 🤣 🤣 🤣 this time atashangaa maana last week alianza kulalamika hajalipwa mshahara
Na kibaya hata ukimpa hiyo pesa ataona kama ni yake na alistahili, hawa viumbe waliumbwa kwa udongo tifu tifu
 
Mkuu nimekuelewa vyema Sana bandiko lako.

Mwanamke ni mdudu hatari zaidi ya Nyoka.
Utajitoa kwake na mwisho wa siku atakudhuru.

Wanaume 90% tunapata matatizo ktk dunia hii sababu ya wanawake.
-jela.
-kutafuta pesa kwa nguvu/style yeyote.
--kurudi nyuma ktk maisha.
--kudhulumu nk.
Kweli mkuu, ukishajua matatizo mengi yanaletwa na hawa ke utajiepusha nao kama ukoma.
 
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.

Ukitaka kula ndizi utafanyeje?
 
Back
Top Bottom