Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,372
Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza.

Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote wamekuwa wakishukuru kupewa nafasi kumuona msanii wa kimataifa toka Tanzania akitumbuiza EP yake ya FOA.

Nitazifisha hizi shukrani.

20220402_101012.jpg
 
Kama sio insider bhasi kwa level ya mahaba uliyonayo kwa Diamond, nitakuombea kwa Mungu WCB wakuone
 
kerubi km kerubi anajaribu kum boost domokaya wake, lakini bado watu hawamuelewi, woiiiiiih
 
Watu wanakukebehi hapa alafu badae utawasikia tuwe kama wa Nigeria.

Tutakuaje kama wao wakati ukijitokeza kusifia msanii wa ndani unaonekana mshamba?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Watu wanakukebehi hapa alafu badae utawasikia tuwe kama wa Nigeria.

Tutakuaje kama wao wakati ukijitokeza kusifia msanii wa ndani unaonekana mshamba?
Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.
 
Mkuu usiwe na shaka hao wote ni mashabiki wa damu wa Diamond Platnumz aka Simba ndio maana wapo kila linapotajwa jina Diamond. Diamond ana mashabiki wa aina mbili wanaosifia na wanaomtukana.
Fact, haters are fans in disguise.
 
Back
Top Bottom