Shukrani zangu kwa Wana JF

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Mar 4, 2023
130
263
Napenda kutoa shukurani zangu kwa Wana JF wote, Mlionipa ushauri, juu ya njia panda niliyokuwepo. Maumivu ya Mapenzi na hisia niliyo kuwa nayo, na washukuru sana. Sasa nimeamua kuwa mtu huru, na Kaa Kandi kabisa na mpenzi mana yataharibu ndoto zangu.

Ila ila, nalipa kisasi kwa huyu binti kwa kufanya kazi kwa bidii, kusoma kwa nguvu, na kutafuta pesa ili badae ni jenge hospital yangu Kisha ni muajiri huyu binti alie sulubisha moyo na hisia zangu.

Naamin tapata mwanamke atae nipenda na kunijali na sio huyu narcissist woman.

Ni Mimi mwalimu mtarajiwa
 
Dogo nakuita tena dogo, ujinga uliokuwa una uwaza kisa mapenz utakuja kujuta ukifika miaka 30 , pambania ndoto zako ,kuna umri ukifika utakosa ata mda wa kwenda kuichakata pisi kali iliyojileta yenyewe , amini nakuambia ulipo pita mimi nimepita.
 
Nakuapat bro acha niwe seriously tu na maisha, Wanawake wapo kaka
 
Ukitafuta hela kwa lengo la kulipa kisasi hutokaa uzipate kamwe maana hela nazo zina nafsi hai... Mwenye akili ameelewa.

Wewe tafuta hela kwa maendeleo yako binafsi na uwe na moyo wa kutoa inapo bidi kusaidia , pia jipende sana
 
Back
Top Bottom