shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe?

    Wakuu naombeni mnieleweshe jamani hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe yaani ukifuatilia baadhi ya picha na filamu mbalimbali unaonesha kwamba tafsiri ya shetani ni weusi wake na someone ambae ana mapembe hivi hivi kuna mtu amewahi kumuona shetani? Na baada ya kumuona aka prove kwamba...
  2. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

    Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie! Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Kusikia Sauti Hii ni thread...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

    Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free will inafanya kazi amemuachia malaika huyo tuliyembatiza majina mengi tu likiwemo jina la SHETANI...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Shetani ananifahamu, na Yesu anamjua, wewe je, shetani anakufahamu?

    Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi. Wiki iliyopita, walijaribu kunishambulia kama walivyomfanyia Ayubu. Mdomo wangu ulivimba ghafla ukawa mwekundu. Kama kawaida, kimbilio langu la kwanza ni Jina la Yesu. Niliukemea uvimbe huo kwa Jina la...
  7. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana shetani alirudi na flight ya jioni.

    Hehehehee Mida ya saa kumi na mbili hivi kuelekea saa moja kamili si ndo ile ndege ikatua, jamaa kashuka zake baada ya kuwa break mwezi mzima. Aisee sio kwa ufuska nilioona jana, ngoja niishie hapo ila kabla sijaishia hapo walau niseme kisa kimoja. Nilikua club moja hapahapa mjini baada ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwa maovu waliyotendewa WAAFRIKA kutoka kwa warabu na wazungu kupitia Yesu na Muhamad naweza sema hawa ndiyo SHETANI WENYEWE

    Habarini za usiku, Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe? Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukiamka wahi kuosha tundu za pua zako. Unapolala Shetani huwa anakaa kwenye hizo tundu

  10. M

    JamiiForums Tanzania Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Shetani nakukemea: Acha kupotosha watu kwa habari za uongo

    Wewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala ya kuwaachia hata pumzi kidogo, unawaongezea maumivu. Unawatupia mapepo yanayowatesa kwa magonjwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  16. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  17. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Dini ni hatari kuliko shetani mwenyewe.

    Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu. Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea. Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni. Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni. Wasabato wanaamini wao...
  18. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa wanywaji.

    Drink responsibly
  19. Now and then

    JamiiForums Tanzania Shetani hayupo , devil never exist

    Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa. Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc Sasa katika Ku-hold power mainly spiritual power ndo unagundua kuwa hauwezi kusema God exist and devil exist na hauwezi...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
Back
Top Bottom