shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nanga OG asiposhinda Shindano la Mchekeshaji bora kwa mwaka wa 2024 / 2025 nitajua kuna Watu wana Chuki kuzidi Shetani hapa duniani

    Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
  3. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

    Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza. Top 5 zangu Million years ago - Adele Sikati Tamaa - Darasa Moyo Wangu - patrick kubuya Voilà - Barbara Pravi Dear Mama - 2pac https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
  5. danhoport

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Mungu anatuimiza binadamu tusamehane, kwanini yeye hajamsamehe Shetani?

    Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Shetani yupo kwenye kampeni

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni. Hajakosea Ni kweli shetani Yuko kwenye kampeni lakini je katika hiyo kampeni anashindana na Nani? Hapa jibu Wala halihitaji elimu ya...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo “CV” ya Shetani. Hafai kuajiriwa popote!

    Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili: Name: Satan (aka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

    Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama? Jibu ni Rahisi tu, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI. Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, mungu ni shetani na shetani ni mungu?

    Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo: Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu. Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu. Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

    Salaam, Shalom!! Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa. Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
  14. Inanna

    JamiiForums Tanzania Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

    Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu. Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mlisema mnataka kucheza na shetani vipi ndugu zetu wa Yanga hali ikoje

    Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
  16. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Hili swali huwa najiuliza sana Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Shetani huwa anasali?

    Mwenye jibu anipe
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  20. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
Back
Top Bottom