Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a motorcycle rally for supporters.
Na juzi polisi mmoja hapa Dar aliwakamata polisi waliokuwa wakitumia...
Wadau inakuaje?
Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply.
Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano...
Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa...
SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO.
Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara.
Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu...
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka mara moja kwa watu wote watakaokaidi agizo la serikali la kufungia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Mapema jana, makampuni ya simu nchini humo yalisema kuwa yametii agizo la serikali la kufungia mtandao huo wa...
Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii.
Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa.
Mantiki yangu:
Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why?
Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani?
Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty
Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi
Imenisikitisha Sana
Tunaomba wazirii HUSIKA...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi.
Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Munde amesema kuna ongezeko...
Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao?
Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo. Alitumia maneno kama wahuni, wapumbavu, wajinga nk.
Mfano angekuwepo leo angesema bunge letu...
Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria imesema hivyo.
Ukweli Sheria sometime inaondoa utu, ubinadamu na kwenda na muda.
Lakini pia sheria...
Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira?
Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili...
Mungu awabariki..
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM.
Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.
Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.