sheria

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
  7. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kusikilizwa kesi upande mmoja (exparte hearing), hukumu ya upande mmoja (exparte judgement), kesi za madai na kesi za jinai

    FAHAMU KUHUSU KUSIKILIZWA KESI UPANDE MMOJA (EXPARTE HEARING), HUKUMU YA UPANDE MMOJA (EXPARTE JUDGEMENT), KESI ZA MADAI NA KESI ZA JINAI. INALETWA KWENU NAMI KELVIN EXZAUDI NYAGAWA, MWANASHERIA KUTOKA CHUO KIKUU MZUMBE MOROGORO Kisheria,Nini maana ya "EX- PARTE" HEARING? Nini maana ya "EX...
  8. Mr Death

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria ya COSTECH inaweza kuathiri hata wanahabari

    Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa. Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Africa - WiLDAF

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF - Monica Mhoja Sheria ni nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko hasa ikitumiwa vizuri. Maombi ya Monica...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wafungua kesi kupinga Sheria Mpya ya Mitandao ya Kijamii

    Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali. Wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kukomesha matumizi mabaya mtandaoni na kulinda haki ya faragha. Adhabu za...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

    Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Lawama yote nawapa viongozi wetu wa kanisa katoliki Kwa kukosa msimamo kwenye kusimamia sheria za kanisa, mnakubali vipi watu waje na viti vyao ?

    Hata mgeni akija kwako ni lazima umuelekeze sheria zako, huwezi kumlaumu akifanya kitu alichoomba akifanye na ukamruhusu. Rais wetu ni muislamu kwake hajui vitu vingi vya wakatoliki, achilia mbali hata ukristo kwa ujumla. Tuelewane jamani, Rais kaenda Kanisani kakalia kiti chake Kwa sababu ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zitenganishwe na Malipo ili zitekelezeke vinginevyo tunajidanganya

    Tatizo kubwa la utii wa sheria atika nchi za kimasikini ni kugeuzwa vyanzo vya mapato! Vinginevyo kama kweli tunataka utii wa sheria basi utekelezaji wake utengwe mbali na tozo au malipo yoyote! Mfano! Vibali Vya ujenzi viwe ni BURE KABISA na vitolewe kwa wakati ikiwezekana ndani ya siku moja...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Mbunge avunja simu yake kwa nyundo akipinga sheria kandamizi

    Mbunge huyo, Burak Erbay, mwanachama wa chama cha upinzani cha Republican People's Party amefanya tukio hilo alipokuwa akizungumza bungeni akipinga mswada unaoungwa mkono na Serikali. Chini ya sheria hii, mitandao ya kijamii na tovuti zitalazimika kutoa maelezo ya watumiaji wanaoshukiwa...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Law School: Sheria isomwe miaka 4, 'vyuo vya kata' vifungiwe

    Wanafunzi wazembe ambao pia ni limbukeni wa mapenzi na maisha ya Dar, wameamua kufungua kesi kushitaki chuo cha sheria kwa kufeli masomo. RUCO[RUAHA UNIVERISTY] UDSM[MLIMANI], SAUT ni vyuo vinavyotoa DIGRII kwa miaka 4 na vilivyobaki vyote ni miaka 3 ambapo pia kile chuo cha kanisa la MARTIN...
  18. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

    Waliosoma Law school na kufaulu watanielewa vizuri kwenye uzi huu. Tusirudie makosa ya kulazimisha watoto wote wa shule ya msingi hata wasiojua kusoma na kuandika wafaulu kilazima na kujiunga na sekondari. Matokeo yake tumeshaanza kuyaona, Hawa watoto hawawezi kushindana na watoto wa wakubwa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
Back
Top Bottom