Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi.
Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
Na, Robert Heriel
Moja ya dalili ya MTU Maskini na mjinga ni suala la kuongozwa na Maoni na mitazamo ya Watu wengine zaidi kuliko kuongozwa na Sheria na Kanuni.
MTU Maskini na mjinga Kabla hajafanya lolote hufikiria kuwa Watu watasemaje na kumuonaje, au watamchukuliaje.
Unajua umaskini na...
Hivi mlitaka Serikali ya Zanzibar ifanye nini kwenye hili? Mnatakiwa kutambua kuwa Mv. Maendeleo imeanza kufanya kazi tangu mwaka 1980 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 600 na mizigo takribani tan 1001 kwa siku.
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44...
Bajaj zikipita traffic light bila ruhusa haina shida, wewe mwenye gari ukiunga ukidhani mmeruhusiwa imekula kwako.
Bajaj ikijaza watu, igeuze main road, ichukue abiria nje ya kituo, na dereva aendeshe kwa kuning'inia hakuna mtu atambugudhi. Daladala ifanye kosa mojawapo hapo utaumia.
Kama...
PEMBA, ZANZIBAR
JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo.
Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana wananchi bado wamekomaa..
================
Iran’s Attorney General Mohammad Jafar Montazeri said...
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.
Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.
Uchumba...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
Leseni zinasema bar ifunguliwe saa 10 jioni mpaka saa 5 usiku kwa siku za J3-Ijumaa na Jumamosi na Jumapili saa 8 mchana mpaka saa 6 usiku.
Nashauri leseni ziruhusu kunywa pombe masaa yote Isipokuwa kwa staha maalumu, namaanisha kwa masaa kabla ya saa kumi pombe zinywewe ndani ya bar au mahala...
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo
China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini.
1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.
2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.
3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko.
Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016.
Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
Hakimu aliehukumu watu bila ushahidi,naye ahukumiwe,ipitishwe Sheria ya kuhukumu watu Kama Hawa.
Haiwezekani, hakimu bila ushahidi anahukumu mtu anatumikia miaka miwili, then anatolewa nje eti Hakimu alietoa hukumu hakuwa na ushahidi, huu ni ujinga Mkubwa.
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight.
Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki.
Hawa wanaCCM...
Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.