Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo

SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni bora za kimataifa,

Mswada huo bado haujapigiwa kura bungeni na utahitaji wingi wa kura wa zaidi ya theluthi mbili ndani ya Bunge ili kuwa sheria

.....................................

Sri Lanka's Foreign Minister Ali Sabry said on Monday a constitutional amendment bill trimming presidential powers is expected to become law in a couple of weeks.

"The new amendment will reduce presidential powers and bring back participatory governance. Sri Lanka is also in the process of drafting out a new anti-terror law that will be in line with international best practices," Sabry told reporters at the foreign ministry.

The bill is yet to be voted on in parliament. It requires a two-third majority in the house to become law.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom