Misahafu inasema mwana mpotevu aliporudi kwa babaye, mwana mwema aliyekuwa kabakia Kwa babaye alichukia mno. Kwamba kwanini baba yao amfanyie sherehe mwovu huyo hali yeye alikuwa pale siku zote asifanyiwe dhifa yoyote?
"Kwa hasira kali alisusa sherehe ya nduguye, akaondoka nyumbani na kutokomea...