sherehe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hata 1980s tulipomaliza mradi fulani Chenji iliyobaki tulitumia kujipongeza kwa sherehe!

    Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha kwa njia ya Sherehe kuna ubaya gani? Ni kawaida sana J4 Ubarikiwe sana!
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

    Hi gentlemen! Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off? Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani. Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu. Tusaidiane kwenye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda ahudhuria sherehe za Ruto na mobile toilet

    Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu. Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje binti unataka kumuoa, anakubali ila anakuwekea ulazima wa kufanya sherehe ya harusi?

    Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi. Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Askari wanne washtakiwa kwa kumkamata Bi Harusi kwenye sherehe

    Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi. Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...
  8. politicians

    JamiiForums Tanzania Je, una sherehe hivi karibuni? Harusi, send off, happy birthday n.k? Pitia huu uzi

    Habari wakuu!, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,je una sherehe hivi karibuni kama harusi,send off,happy birthday n.k, kama jibu ni ndio basi hii taarifa ni nzuri na muhimu sana kwako, tunafahamu kuwa linapofika swala la sherehe yoyote watu hupanga mahitaji muhimu kwa ajili ya...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Manara amefungiwa kujihusisha na soka ,mechi ya Leo sio ya mashindano ya tff,ni sherehe ya yanga ,manara kaja kama mc

    Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa wilaya ya Hejing, mkoani Xinjiang, China wafanya sherehe ya Nadam

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Harmonize kafunika sherehe ya Yanga leo

    Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana. Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga. Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize. Hongera sana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

    Kesho tutakuwa na mahafali ya postgraduates hapa UDSM, mimi na rafiki yangu (foreigner) tutakuwa na sherehe fupi majira ya jioni, bahati mbaya hatuna marafiki wa kujumuika nasi kutokana na interaction ndogo kwenye physical environment! Kwa walio tayari, (walau 3 females) walio na hobby ya...
  15. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Birthday party: Hizi sherehe Huwa zinachangiwa kama ilivyo kwenye masuala ya harusi na send-off????

    Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari. Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

    Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo. Anyways, hakuna ubaya ni...
Back
Top Bottom