Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.

Ukifatilia kwenye page za Ma mc, utagundua wanawake wanasifia magauni ya ma bibi harusi, kuchangamka kwao au namna wanavyocheza "these are minor things they are alyways interested with"

Hata wale magumegume, wadangaji, pesa mkononi nao utakuta wanasema " Jamani wanaume mko wapi waolewaji tuko hapa na sisi tucheze kama hivi"

Wanahisi ndoa ni kutingisha viwiliwili vyao kwenye sherehe.

Ndio maana pia wanaume wengi wanajiuliza mara mbili mbili kuoa mtu ambaye focus yake toka day one ni namna ambavyo atacheza kwa bidii kuwakomesha mashosti zake siku hyo kwamba kaolewa.

Lakini humsikii anajipanga vipi kuwa mama, mke na mwanafamilia kwa ndugu na jamaa na mipango ya maisha ya ndoa..

Ndoa si ile sherehe ya kula ubwabwa na kukatika ( tena siku hizi mmekosa staha mnanyanyua kabisa na gauni paja liko nje unamwaga mauno mbele ya wakwe,) Behave please, Ebooo Are you the first one to get married in this world? Halafu utupikie chapati ziko kama Amoeba...Grow up..

Jamani Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Baada ya kimya nimerejea.

Amani iwe nanyi

1624867959611.png

Mimi huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaoenda kufunga ndoa sanasana hawa wakristo sijui hawaoni mfumo wa ndoa na sheria zake zilivyokaa kitapeli

Vitu vingine katika maisha unabidi uvikatae tu maana sasa hivi siasa zimetawala majumba ya ibada na siku zinavyozidi kwenda watu wanaondo sheria za Mungu wanaweka zao

Eti umewai soma wapi kwenye kitabu cha dini ambapo watu wanaoa kwa kusain kama mkataba halafu wakavishana pete pia wakati wa kutoa divorce inabidi mgawane mali asilimia 50 kwa 50 bila kujali mali katafuta nani

Mimi binafsi naona sasa kufunga ndoa nikusaini mkataba wa ulaghai
 
Kinachoniacha nimeshika mdomo ni pale naposhuhudia ndoa za fahari sana zikivunjika upesi huku zile za sogea tuishi zikidumu japo ugali kwa chai ya chumvi...
Wanawake wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ,Wao wakisha selfika na kupostiwa na wakina mc gharab, au dr cheni bhac nafsi zao zinasuhuzika baada ya hapo , kurudi kwenye uhalisia wa maisha ya ndoa wanashindwa ..migogoro inaanza ...
 
True say.. lakini kwa mmu hii ya sasa hakuna atakae kuelewa
Ndoa siku hizi ni mambo ya chumbani tu, utawasikia mara hoo mm usiponipa tigo nakuona mshamba, mara hoo nataka mme anipeleke kfc kila dinner...

Yani ni taflani vitoto ndoa hawaijua na mapenzi hawajui, totally hakuna walijualo.
 
Mkuu yani leo asubuhi nilikua napiga story na dada fulani, kwa bahati mbaya leo hajahudhuria harusi kanisani kwao basi anajilaumu kwelikweli. Anasema anapenda kuona jinsi watu wanafanya sherehe na yeye anatamani mno.

Nikamuuliza vipi huwazi kuhusu maisha ya ndoa, aisee huwezi amini aliapia kabisa kua ye hayo ya ndani hayawazi ye anataka kvishwa pete mbele ya umati na sherehe kubwa, mengine mbele kwa mbele uko.
 
Wajinga mnoo adse
 
Wanawake wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ,Wao wakisha selfika na kupostiwa na wakina mc gharab, au dr cheni bhac nafsi zao zinasuhuzika baada ya hapo , kurudi kwenye uhalisia wa maisha ya ndoa wanashindwa ..migogoro inaanza ...
Hahah😂 ila ukiwakuta kwenye majumba ya ibada wanavyosali ili wapate ndoa unaweza sema wanaume ndio tatizo kumbe shida yao harusi tu
 
Mkuu akili za wanawake huwa hazifikirii mbali, mwanamke anafikiria kuhusu sasa sio kuhusu baadaye. Ndio sababu huwa wanapata majuto ya mambo mengi. Wapo waliolewa kama show off kwamba nao sasa ni wake za watu lakini hawakuwapenda wanaume zao.
 
Mkuu yani leo asubuhi nilikua napiga story na dada fulani, kwa bahati mbaya leo hajahudhuria harusi kanisani kwao basi anajilaumu kwelikweli. Anasema anapenda kuona jinsi watu wanafanya sherehe na yeye anatamani mno.

Nikamuuliza vipi huwazi kuhusu maisha ya ndoa, aisee huwezi amini aliapia kabisa kua ye hayo ya ndani hayawazi ye anataka kvishwa pete mbele ya umati na sherehe kubwa, mengine mbele kwa mbele uko.
😂😂 halafu mtu anakutishia husipo oa unakuwa bado sio mwanaume kamili sijui wanadhani bado hatujawaelewa gas lighiting
 
Back
Top Bottom