Hii ni hatua nzuri ya kufanywa na serikali maana sisi ni wadau wa kupaaza sauti juu ya mwenendo wa kusuasua wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu wa COVID 19. Kuna sehemu nimepita kama nilivyoeleza kwenye heading na kushuhudia mashine hiyo ikifungwa tayari kwa kuanza uzalishaji wa barakoa.
Lakini...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE
UTANGULIZI
Ndugu wananchi wenzangu,
Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
Serikali ya Denmark imeanza kulegeza masharti yaliyowekwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 ambapo taratibu zilizowekwa mipakani zimelegezwa, baadhi ya Shule na maeneo mengine ya umma yameanza kufunguliwa
Denmark inaingia hatua ya pili ya kufungua nchi ambapo maeneo ya tamaduni kama vile...
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu...
Akihojiwa na DW Jana mchambuzi nguli Generali Ulimwengu alisema kuwa data zote zilizotolewa na Rais Magufuli ni za kutiliwa shaka sana kwani zinakosa uhalali wa kisayansi.
" Huwezi kukubali kuwa data hizo ni halali wakati hupimi watu na maabara zenyewe zina mashaka"
Alipoulizwa kuwa Rais...
Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni.
Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri.
Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman amesema serikali ilikuwa tayari imejipanga kuongeza viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma, lakini kutokana na janga la corona, utekelezaji wa mpango huo umesitishwa kutokana na nchi kuyumba kiuchumi...
Hii inaonyesha wazi kuwa dunia yetu tu wazembe na tunastahili tunachokipata, ingawa watoto wetu wadogo hawana makosa ya madhira wanayoyapata.
Soma hii excerpt from CDC
"The 1918 H1N1 flu virus caused the deadliest pandemic of the 20th century. To better understand this deadly virus, an expert...
Tuungane pamoja kuiombea na kuitetea miradi mikubwa kama:
SGR
STIGLERS GORGE
MIUNDOMINU
UMEME
MAJI
HOSPITALI
SHULE
Na miradi mingine mikubwa kama:
Ubungo Interchange.
Salender Bridge
Busisi Bridge
Meli nk
Tukiendelea kuipinga serikali hata kwenye mambo ya maana matokeo yake inatumia nguvu ya...
Katika kile kinachoonyesha kuwa huenda baada ya Michezo Kusitishwa kwa muda na baadae Wachezaji kuanza Kambi kwakuwa Ligi Kuu ya Vodacom inakaribia Kuendelea Wachezaji wa Klabu ya Ligi Kuu ya KMC wao wameamua kuja na aina yao ya Kipekee kabisa ya Kimaandalizi duniani.
Wakizungumza kwa nyakati...
Janga la corona limetikisa dunia kwa kusababisha taharuki na vifo vya watu zaidi ya laki tatu, kusababisha mdororo wa uchumi kwa kusimamisha uzalishaji, kupunguza ajira na madhara mengine mengi kwa binadamu.Hizi ndizo athari za muda mfupi tunazoweza kuziongelea kwa sasa,athari za muda mrefu...
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya...
Serikali mpya ya dharura ya umoja wa kitaifa inatarajiwa kuapishwa rasmi nchini Israeli mapema kesho.
Serikali hiyo itaundwa na vyama vya Likud, Blue and White, Shas,United Torah Judaism, Labor na chama cha Derech Eretz.
Waziri mkuu Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutangaza ajenda ya Marekani...
Wanabodi,
Niko mitaa ya Kinondoni Makaburini, nimekuja kumzika Nguli Mzee Fili Karashani, ila wakati mwili wanazikwa kule kaburini, wengi wetu tunazikia huku umekaa viti vya juu hapa Break Point, sio kwa kupenda, bali tumelazimika...
Tangu kuanza kwa hili janga la Corona, leo nimekutana na...
Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho.
Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.