Wizara ya Afya yaondoa rasmi kukaa karantini kwa wageni wanaoingia nchini

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,349
5,230
.
IMG_20200518_185424.jpg
IMG_20200518_185355.jpg
 
Hivi Magufuli, Wagonjwa wa corona wamepungua au wamepunguzwa? Maambukizi ya Corona yamepungua au mnakwepa kupima? Vifo vimepungua au mnaficha?

Ni dhambi kutaja jina la Mungu kushuhudia uongo tena ukiwa kanisani.
Toeni taarifa za kweli umma ujilinde.
 
Hivi wee Magufuli, Wagonjwa wa corona wamepungua au wamepunguzwa? Maambukizi ya Corona yamepungua au mnakwepa kupima? Vifo vimepungua au mnaficha?
Ni dhambi kutaja jina la Mungu kushuhudia uongo tena ukiwa kanisani.
Toeni taarifa za kweli umma ujilinde.

Nasikia kuna mtu twitter anajulikana kwa jina kigogo yeye anatoa report


It is never too late to begin. Start now
 
Ukweli ni kwamba hili suala la Covid 19 linahitaji tu uangalifu wa aina fulani lakini kuzuia kabisa sio rahisi. Hata nchi zinazoendelea zimeona kuwa haziwezi kuwa na lockdown milele. Athari za kiuchumi na kijamii ni kubwa mno.

Japo wanajua watu watakufa basi wameona hakuna jinsi. Tahadhari zitachukuliwa lakini pale ambapo majanga ya vifo yatatokea basi hakuna la kufanya. Kwa hiyo hatuwezi kumlaumu Magufuli kwa hili.

Ushauri wangu ni kwa Air Tanzania kuchangamkia hii fursa haraka sana na kuji establish kwa kuanza route za nchi ambazo zinaruhusu ndege za trip za kimataifa kutua!

Kuna uzi niliandika kwa kirefu juu ya jambo unaweza kuangalia;

Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona
 
Back
Top Bottom