Serikali wasaidieni haraka wakazi wa Makongo kwani wanalalamika wachezaji wa Timu ya Ligi Kuu ya KMC kutembea na Wake, Dada na Watoto wao

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Katika kile kinachoonyesha kuwa huenda baada ya Michezo Kusitishwa kwa muda na baadae Wachezaji kuanza Kambi kwakuwa Ligi Kuu ya Vodacom inakaribia Kuendelea Wachezaji wa Klabu ya Ligi Kuu ya KMC wao wameamua kuja na aina yao ya Kipekee kabisa ya Kimaandalizi duniani.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kabisa na kwa Masikitiko kupitia Kituo cha Redio cha Clouds Fm Kipindi cha Michezo cha Sports Extra usiku huu Wakazi wa Makongo ambako Klabu hiyo ya KMC imeweka Kambi wameomba msaada kutoka Serikalini kwa wanafanyiwa Ufirauni ( Uhuni ) mwingi.

Kifuatacho ni baadhi ya nukuu zao hao Wakazi Wahanga wa Makongo ambapo Klabu husika ya KMC imeweka Kambi huko...

Mwana Makongo #1
" Kwakweli Ndugu Mtangazaji yaani tokea Timu hii ya KMC iweke Kambi huku wenye Wake zetu, Wadogo zetu wa Kike na hasa Watoto wetu wa Kike ama hakika cha Moto tunakiona na tunajuta hata kwanini CORONA imekuja au labda sijui hawa Wachezaji wa Klabu hii ya KMC wameambiwa Wanawake zetu huku Makongo ndiyo wana dawa ya hili Janga "

Mwana Makongo #2
" Kuna uwezekano labda hawa Wachezaji wa Klabu hii ya KMC wameweka huku hii Kambi yao pengine kuna Mashindano ya Ligi Kuu ya Kimataifa ya Ngono wanajiandaa kwenda Kushiriki kwani si kwa Uhuni huu wanaotufanyia kwa Wake, Watoto wetu wa Kike na Wadada zetu "

Mwana Makongo #3
" Nilikuwa na tabia za Kufungulia Mbwa wangu Wakali Usiku tu ila tangia nione huu Uvamizi wa hawa Wachezaji wa Klabu ya KMC kwa Wake, Watoto wetu wa Kike na Dada zetu sasa Mbwa wangu Wanakesha 24/7 hivyo Mchezaji wa KMC Tako lake likimegwa na hawa Mbwa wangu asinilamu "

Mwana Makongo #4
" Ndugu Mwandishi ukitaka kuona maajabu njoo huku Makongo Kwetu kuanzia mida ya Saa 2 Usiku utakuta Wachezaji wote wa KMC wameshatoka katika Mazoezi yao ya Jioni na wameshaanza Kugawana Nyumba za Kuingia kusumbua Kuwatongoza na Kuwalazimisha Ngono Wanawake zetu "

Mwana Makongo #5
" Kuna Mchezaji wao Mmoja hivi Mshambuliaji mzuri sana na anafunga mno kwani hilo amenithibitishia huku Kambini kwa jinsi alivyo mwepesi Kutembelea Nyumba za Watu na Kuwatongoza Wanawake katika mfumo wake ule ule anaoufanyaga akiwa Uwanjani Taifa "

Mwana Makongo #6
" Naiomba Serikali pale itakapoamuru tu Shule zifunguliwe basi ziamuru Gwaride la hawa Wachezaji wa KMC ili Wake zetu, Wadogo zetu wa Kike pamoja na Watoto wetu wa Kike wawataje kwani kwa muda huu mfupi tu wa Likizo hii ya CORONA na kuweka Kwao huku Kambi kuna Mimba nyingi tu "

Mwana Makongo #7
" Mpaka hivi sasa najiuliza sana kuwa hawa Wachezaji wa Klabu hii ya KMC wanawezaje Kufanya Mazoezi yao Kikamilifu ya asubuhi na jioni wakati kutwa wanafanya Ufuska na wake zetu, Dada zetu na Watoto wetu wa Kike katika Magesti ya Jirani huku wengine katika Magari yao yenye Vioo vya Tinted na Maporini pia "

Na kwa kuweka Kumbukumbu sawa tu kwamba Mlezi Mkuu wa Klabu hii ya KMC ni Mkuu wa Mkoa wa ilipo Timu hii hii husika.
 
DAAH HAYA MENGINE NI KILA MMOJA ACHUKUE HATUA STAHIKI WA WAKATI WAKE, AKIONA MKEWE AU MWANAE ANALIWA BASI AWEKE MTEGO NA KUMKAMATA MCHEZAJI HUSIKA
 
Serikali mnayo hapo hapo mtaani yaani Mwenyekiti wa Mtaa, Mtendaji Kata na Diwani, au mnataka aje Waziri? Lakini pia kila mtu achunge mke wake
 
Kuna mahala popote pale labda umeona Makongo imetajwa kama Mkoa? Hivi kwanini Watu wengine mmelaaniwa na Ujuha?
Ukimuelekeza huta poteza chochote na sio member wote wanajua makongo iko wapi na wewe hujasema makongo ya wapi kwenye uzi wako

semper fidelis
 
Kwani walalamikaji wanakuwa wapi hayo yote yanapotokea? Na je, inamaanisha ni kwamba maisha yao makwao ni yanamatatizo hadi hao wanawake wajiachie kwakutembelewa tu na kuvua papuchi kirahisi hivyo kama wamringia kwenye madangulo?
 
Wanaume wa dar katika ubora wao. Yaani hata mkeo unataka serikali iingilie kati? Tatizo supu ya pweza. Wakikutana na wasukuma ama wakurya ni gwaride kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom