serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  2. JamiiForums Tanzania Majina ya Taasisi na Mamlaka za Serikali kwanini yapo kwa lugha ya Kiingereza?

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?. Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani...
  3. JamiiForums Tanzania Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

    Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita. Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kujenga hospitali hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

    Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006. Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
  5. JamiiForums Tanzania Rai kwa Serikali na Bunge: Wanaoambukiza UKIMWI kwa kukusudia wahanisiwe, wapigwe chapa au wadungwe sindano za kutoa mihemuko

    Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kipi kilipaswa kujengwa kwanza, ni kuinua daraja la Jangwani au kujenga Daraja jipya la Salenda hadi Coco beach?

    Baada ya kuona haya mateso makubwa wanayopata wanabchi kwa kufunga barabara inayounganisha jijini Dar na Magomeni ikijirudia Mara kwa Mara kutokana na mvua kunyesha, nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watawala wetu walitumia busara kweli kuamua kujenga daraja la kuunganisha Coco beach na Salenda...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

    Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu. Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa wananchi wengi mkoani kigoma hawajapatiwa namba za Nida?

    Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
  9. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu. Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Mbinu na mikakati tuliyotumia kupata ushindi wa 99% kwenye Serikali za mitaa ndizo tutakazotumia uchaguzi mkuu 2020

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kutoongeza muda kusajili laini

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali haitaongeza muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole, huku akitahadharisha kuwa katika siku zilizosalia, kasi ya wizi wa kimtandao kupitia simu za mkononi umeongezeka. Amesema hayo jijini Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza. Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
  15. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais

    Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa. Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

    Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani juu ya kuwaendeleza kipekee wanafunzi wanaoongoza kitaifa?

    Wakuu nimeona nililete hapa ili tujadiliane na pengine kuishauri serikali kuchukua hatua madhubuti wanafunzi wanaoongoza matokeo mbalimbali ya mitihani ya kitaifa. Mathalani, kuna wanafunzi wameongoza mitihani ya kidato cha nne yaliyotoka juzi kwa kupata alama za juu sana kuliko wenzao, top ten...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada. Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanamna uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa je ni halali kuendelea na katiba inayozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani?

    Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi. Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini . Vyama vya...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

    Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao. Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…