Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Punguza jazba kidogo hata kama mleta mada kagusa ugali wako.
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.

Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.
Anaekumbuka story ya mobite kisha Buzz kisha Tigo walvyokwepa kodi kwa kudai kampuni inapata hasara hivyo inauzwa kumbe ni ukwepaji kodi tu. Watanzania tumepigwa sana, turudishe walivyotuibia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliekuambia huyo mfanyabiashara hapendi kulipa kodi nani? Amekuwa analipa kodi all these years na tax audits (zinazofanywa na TRA hao hao) amekuwa anafanyiwa. Leo hii wameona kipi ambacho hawakukiona miaka yote hiyo?
Unadhani ni rahisi mtu kupata bank statements zake za 2006 leo hii? Don't be stupid.
 
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.
Anaekumbuka story ya mobite kisha Buzz kisha Tigo walvyokwepa kodi kwa kudai kampuni inapata hasara hivyo inauzwa kumbe ni ukwepaji kodi tu. Watanzania tumepigwa sana, turudishe walivyotuibia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.
 
Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.

Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Mkulima aliishitaki serikali deni la mwaka gani?
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi naona kinachofanyika. Nacho ni kuua private sector. Mwambieni jiwe kuwa anajipiga mwenyewe risasi miguuni wakati anatakiwa kupanda mlima wenye utelezi.

Tunamuangalia jinsi anavyojiumbua. It is just a matter of time; na siku akigundua hilo it will be too late to do anything for his limited intellect.
HE IS DOOMED.
 
Busara na adabu ni ustaarabu,acha kutukana wananchi.Kujificha nyuma ya keypad kwa kichaka cha avatar na jina la uwongo visikuongopee.Hivi sheria zinazotokana na hati za dharura hutungwa na Bunge?Jiheshimu hata kwa 2% ayseee,be sensible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulima aliishitaki serikali deni la mwaka gani?

Acha kulinganisha kuku na mbuzi. Mkulima alikuwa anadai, kwani angelipwa (hata kama ni pesa pungufu na akatoa certificate of debt liquidation) angewezaje kudai tena?
Hapa tunaongelea mtu ambae amekuwa analipa kodi na anapewa tax clearance (huku akiwa amefanyiwa tax audits kwa miaka yote ya nyuma); inakuwaje leo udai alikuwa anakwepa kulipa kodi?

Mnalo hilo. Na ukweli ni kuwa hata ambao walikuwa kweli wanakwepa kulipa kodi (na kwa kuwa walipewa mwanya kisheria) hata mkiwadai leo hii HAWANA CHA KUWALIPA.
What are you going to do, kill them?
This government is pathetic.
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio hayo hayo mapumbavu mabingwa wa kudai public services bure mkuu.
Yakiitwa manyumbu yanakasirika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.
Afunge, kwa niniasilipe kodi ? Unamtishia nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote mlizoea kukwepa kodi. Mmebanwa mnalalamika
Mimi naona kinachofanyika. Nacho ni kuua private sector. Mwambieni jiwe kuwa anajipiga mwenyewe risasi miguuni wakati anatakiwa kupanda mlima wenye utelezi.

Tunamuangalia jinsi anavyojiumbua. It is just a matter of time; na siku akigundua hilo it will be too late to do anything for his limited intellect.
HE IS DOOMED.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe kaharibu nchi hivyo hakuna Tena wa kumpa GRANTS. Pesa za kuendeshea Nchi inabidi azipate humu humu ndani. Tunalo
 
Kweli,tz imeishiwa!na tshs inazidi kudondoka thamani,nimecheck kwenye stoke exchange yaani 1000 ya tz Ni sawa na 32 kwacha ya malawi,wakati kipindi Cha nyuma ukiwa na 10000 ya tz Ni sawa na miela kibao ya malawi.
 
Kudaiwa kodi tafsiri ya kijinga ni kuishiwa kumbe

Back
Top Bottom