Viongozi wengi wa Serikali waliotokea UVCCM wana jazba na kejeli ukiwaondoa Dkt. Nchimbi na Shigela, hii husababishwa na nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,977
Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba.

Je, sababu ni nini?

Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika kama UVCCM wanapewa mafunzo yoyote.

Uongozi ni dhana pana na unapoona kiongozi anapambana " kibinafsi" zaidi ujue huyo hana sifa ni kama vile Steve Nyerere anavyoenda kugombea ubunge Iringa mjini ili tu " kumkomesha" mbunge wa jimbo hilo wanaeshare naye mchepuko.

Vijana chapeni kazi acheni jazba na kuuza nyago.

Maendeleio hayana vyama!
 
Nchimbi yupo wapi?unafananisha Nchimbi aliyepo America na hawa waliopo hapahapa...unahisi nchimbi angekuwapo hapa na akafanyiwa wanayofanyiwa hawa unadhan ange_react vipi?
 
Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba.

Je sababu ni nini?

Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika kama UVCCM wanapewa mafunzo yoyote.

Uongozi ni dhana pana na unapoona kiongozi anapambana " kibinafsi" zaidi ujue huyo hana sifa ni kama vile Steve Nyerere anavyoenda kugombea ubunge Iringa mjini ili tu " kumkomesha" mbunge wa jimbo hilo wanaeshare naye mchepuko.

Vijana chapeni kazi acheni jazba na kuuza nyago.

Maendeleio hayana vyama!
CV yao ya kuwashughulikia wapinzani ndio umkuna awalipae salary na pia ndio cv ya teuzi si unaona alivoshughulikiwa Mbowe juzi.
 
Unawaona wananchi wa Iringa ni WANYONGE kiasi hicho, hadi muwaletee MWANASESELE/Steve Nyerere awe mgombea?
 
Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba.

Je sababu ni nini?

Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika kama UVCCM wanapewa mafunzo yoyote.

Uongozi ni dhana pana na unapoona kiongozi anapambana " kibinafsi" zaidi ujue huyo hana sifa ni kama vile Steve Nyerere anavyoenda kugombea ubunge Iringa mjini ili tu " kumkomesha" mbunge wa jimbo hilo wanaeshare naye mchepuko.

Vijana chapeni kazi acheni jazba na kuuza nyago.

Maendeleio hayana vyama!
Angalia pia uwezo wa watu hao academically...zero tupu

Uwezo kielimu huendana pia na ustaarabu, mwone hata Mzee Meko alivyo na mambo ya kishamba
 
Ben yupi?.......Malisa!!
Kama hata code nyepesi kama hiyo nayo unaigiza kutojua nani nimemaanisha yaan umeshindwa ku_decode bhas huu uzi umeanzishwa sio kwa kupata maarifa ilakutafuta watu

inasikitisha kuona taasisi mama nazo zinatumia watoto wadogo kuwinda wakubwa zao

Siku hizi naona watu wa aina ya akina marehem Mustapha Songambele wameanza kuingia hadi taasis mama.
 
Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba.

Je sababu ni nini?

Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika kama UVCCM wanapewa mafunzo yoyote.

Uongozi ni dhana pana na unapoona kiongozi anapambana " kibinafsi" zaidi ujue huyo hana sifa ni kama vile Steve Nyerere anavyoenda kugombea ubunge Iringa mjini ili tu " kumkomesha" mbunge wa jimbo hilo wanaeshare naye mchepuko.

Vijana chapeni kazi acheni jazba na kuuza nyago.

Maendeleio hayana vyama!
Hao uliowataja ni malezi mabaya toka utotoni na wengi wao wamepatikana katika mikesha ya mwenge hivyo hata hawawajui baba zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hata code nyepesi kama hiyo nayo unaigiza kutojua nani nimemaanisha yaan umeshindwa ku_decode bhas huu uzi umeanzishwa sio kwa kupata maarifa ilakutafuta watu

inasikitisha kuona taasisi mama nazo zinatumia watoto wadogo kuwinda wakubwa zao

Siku hizi naona watu wa aina ya akina marehem Mustapha Songambele wameanza kuingia hadi taasis mama.
Hapa nazungumzia UVCCM bwashee siyo Bavicha ya akina saanane na ole sosopi!
 
Back
Top Bottom