serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kikomo ya Sukari; ipo kati ya Tsh. 2,600 na Tsh. 3,200 kwa kilo kutegemea na Mkoa

    Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000. Aidha kwa Mikoa ya Lindi na...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Wote tumemsikia rais wetu jana. Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa". Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown. Lakini, mimi naona...
  4. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna lockdown, Basi tuonyesheni mipango

    Wana jamvi Nilitamani niandike haya maoni yangu mapema wiki hii ya kwanza ya paska lakini nashukuru Leo nimeandika. Maambukizi yanaendelea kupaa kwa kasi tofauti na mtazamo WA awali licha ya waziri Ummy kueleza maambukizi ya ndani yameanza lkn hakutuonyesha mipango madhubuti. Pia waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

    Akifunga kīkao cha Bunge jioni ya leo, Spika Job Ndugai ametangaza kuwa mazishi ya Mama Rwakatare yatafanyika siku ya tarehe 23 Aprili na yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa Moto. Taarifa rasmi zinasema mama hajafariki kwa Corona...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Serikali haifanyi lolote au tunajipumbaza kisiasa?

    Tumekaa kimya lakini wapuuzi Aina hii wanapaswa kujibiwa. 📄 Katika andiko la Zitto Kabwe Ruyagwaa analalamika kwamba Rais haonekani, Makamu wa Rais haonekani, na badala yake Waziri Mkuu ndio anaonekana akiwa na Waziri wa Afya wakizungumza zaidi juu ya Corona, Covid-19 👀 Katika Macho ya kawaida...
  8. JamiiForums Tanzania Covid-19: Serikali Ilinde wataalamu wetu kwa kuwapa likizo

    Amani Iwe Kwenu Napenda kutoa wito kwa Serikali Yetu ya Awamu ya Tano Kuwapa Likizo Wataalamu wetu kada mbali mbali, hasa waliopo Dar Es Salaam, ili kuwaepusha na janga Hili la Corona Virus Desease 2019. Nimewasiliana na Mzee mmoja mfanyakazi wa TBS, Ni mtaalamu aliyesomeshwa kwa gharama kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la bajeti litahudhuriwa na wabunge wasiozidi 150, sijajua sheria inaruhusu au huu uamuzi ni sahihi? Na bunge kuanza saa nane mchana

    Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma: Hakuna maswali kwa waziri mkuu Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu Waandishi wachache wataruhusiwa
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

    Polisi wanawatafuta watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika kama karantini Inadaiwa kuwa walikuwa wanapata chakula cha jioni, na mvua ilikuwa inanyesha nao wakatumia fursa hiyo kuruka uzio na kukimbia Wengine kati ya hao...
  11. JamiiForums Tanzania Israeli yafikia makubaliano ya kuunda Serikali ya dharura

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amefikia makubaliano ya kihistoria ya kuunda serikali ya pamoja ya dharura na hasimu wake mkuu Benny Gantz, hatua inayomaliza mkwamo mbaya kabisa wa kisiasa nchini humo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu (R) na hasimu wake Benny Gantz (L)...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona. Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  14. JamiiForums Tanzania RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kwa sasa ijikite kwenye kuuza bidhaa nje ya nchi zaidi na kupunguza matumizi kwenye miradi ya maendeleo

    Kutokana na janga hiki la Corona serikali ijikite kwenye uuzaji bidhaa nje kwa bidhaa kuanzia vyakula nk Vikwazo vyote viondoldwe upesi kodi ,ukiritimba nk viondolewe kwa spidi ya haraka ili Ku encourage mtanzania yeyote ana yetaka kuuza chochote auze nje na yeyote wa nje anayetaka kununua...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye yafuatayo kwa haraka kulinusuru taifa

    Wakati juhudi za kupambana na janga hili zikiendelea,kuna mambo ya msingi na muhimu kama nchi nahisi hayajaenda sawa. Kwa haraka haraka na bila kuchelewa nashauri serikali kufanya mambo yafuatayo: 1. Upo uhaba wa vitendea kazi kwa watumishi zikiwemo Mask aina N95 ambazo kwa mujibu wa Naibu...
  17. JamiiForums Tanzania COVID-19: Uwezo Dhaifu wa Serikali

    WanaJF, Tanzania, kama nchi nyingine zote duniani zinapitia changamoto ya Coronavirus. Hapa kwetu, kwa bahati ya pekee kabisa, tumepata nafasi ya takribani miezi miwili mitatu kujiandaa. Unategemea Serikali yenye wasomi kuwa na mpango wa kudhibiti tatizo hili na kulinda maisha ya raia wake na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali ya Tanzania, Maaskari wetu hususani Polisi na Watu wa Afya Waangaliwe kwa jicho la tatu, wako kwenye hatari sana.

    Pamoja na jitihada zao binafsi za kujikinga lakini, makundi haya mawili, watu wake wako kwenye hatari kubwa zaidi ya kuangamia na kuziangamizia famili zao. Huu ni ukweli usiopingika, watu hawa kutokana na uhalisia wa kazi zao wanakutana na watu wengi kwa siku, hivyo basi, nimuhimu wakaangaliwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya covid-19: Polepole awaambia viongozi wa Serikali huu si wakai wa kutisha watu au kuchukua hatua za kufedhehesha

    Hii ndio tweet yake: Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…