serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iache double standards, kila mtu ana mchango sawa kwenye maendeleo ya nchi yetu

    Serikali iendeshe inchi kwa usawa. Isipendelee. Najua hakuna usawa kamili ila angalau kua na usawa kiasi. Hii serikali inaonekana iko selective, baadhi ya makundi ya watu inayapenda wengine hawapendwi. Tukianza na watumishi wa umma. Toka serikali hii imeingia haijawahi kuongeza mishahara wala...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Chadema kutoka kuwa chama cha upinzani hadi kuwa chama adui kwa serikali na wananchi wa kawaida

    Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu. Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
  3. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali yetu kwenye Sheria za Uchaguzi

    Ninaombi kwenye sheria zetu za uchaguzi kipengele kimoja tu kibadilishwe au kiongezwe. Kwa maoni yangu ningependa iwe hivi Mbunge yeyote " Akijihudhuru au kuhama chama" basi aliyekuwa anafuatia kwenye kura wakati wa uchaguzi Mkuu yaani wa pili aapishwe ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani au mtu wa aina gani anayeruhusiwa kumiliki nyara za Serikali kisheria

    Sote tuna fahamu nyara za serikali ni nini, Je kuna sheria inayo mruhusu mtu yeyote yule kumiliki nyara za serikali? achilia mbali leseni ya uindaji ili uwinde wanyama, namaanisha upewe kibali uwamiliki mfano ndege kama TAUSI uwe nao nyumbani kwako uwafuge, sijawahi sikia popote pale kuwa kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yaziunganisha Benki za TPB na TIB Corporate na kuwa Benki moja ya Biashara

    SERIKALI imziunganisha benki za TPB Bank Plc pamoja na TIB Corporate ili kuimarisha utendajikazi wa benki hizo na kuhimiri ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Msajili wa Hazina, Athuman Mbutuka alipokuwa akizungumza na vyombo vya Habari...
  6. JamiiForums Tanzania Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

    Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

    Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze. Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na CHADEMA kutoisifu Serikali kujenga Ikulu mpya maana kimsingi wao ndio wapangaji wajao

    Naona CHADEMA haikufanya sawa kumpongeza mh Rais Magufuli kwa kujenga Ikulu mpya. Ni Jambo lililowazi binadamu akifikisha miaka 60 jua limeshakuchwa anajiandaa kukusanywa na ndugu zake yani kuaga Dunia. Sasa hapo vijana ndio wanakuwà warithi wa nyumba na mali za baba. Kwa umri wa CCM ile Ikulu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipe madeni ya watumishi

    Nazungumzia mapunjo ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wakiwemo wahudumu wa afya na walimu. Fomu za kudai mapunjo hayo zilijazwa tangu mwezi January 2020 lakini hadi leo hii hakuna taarifa yoyote juu ya kulipwa. Hii hali inawakera watumishi waliopunjwa
  10. JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

    Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo. Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020: Tunahitaji Serikali Jumuishi

    Tukijilinganisha sisi na wakenya ktk maeneo mengi tunakuta wakenya wametutangulia kwa kuonyesha dhamira njema katika kila jambo. Mathalan tukilinganisha katiba ya Kenya na ya Tanzania utagundua dhamira njema iliopo katik katiba ya Kenya katika kuwaunganisha raia wake. Huku ya ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje. Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inadharau sana Buza?

    Hili eneo linaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ndio maana nauliza hili swali. Ilipotengenezwa barabara ya lami toka Jetcorner mpaka Davis corner kidogo yalikuja mabadiliko. Lakini naona kimaendeleo bado sana. Japokuwa kuna hospital mpya imejengwa lakini siridhiki na namna serikali inavyoiangalia...
  15. JamiiForums Tanzania Bongomovie kwa hali serikali kuwapa msaada ni ngumu. Nyie wenyewe hamuwezi kujisaidia kifikra

    😂😂😂 Et ndo comedy hii, Tuwaachie wakina Joti na Mpoki, Idriss sultan tafuta kazi ya kufanya comedy sio fani yako.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa?

    Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa ukiiangalia TZ katika kilomita zake za Mraba ni zaidi ya 900,000, hapo kilomita za Zenji bado hazijaingia , ukiwa unafanya safari unakutana na mapori mengi sana , mikoa mingine unakuta...
  17. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] - Ripoti ya CAG

    Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Mollel aziponda hospitali za Serikali kwa kushindwa hata kujaza fomu za Bima, azifagilia Hospital binafsi kuwa ziko makini

    Naibu waziri wa afya Dr Mollel ameliambia bunge kuwa kwa muda mfupi aliokaa wizsrani amegundua madudu kadhaa katika hospitali binafsi na MSD. Dkt. Mollel amesema MSD kulifanyika ufisadi wa kutisha na tayari Rais Magufuli alishamtumbua mkuu mkuu wa MSD na kuingiza damu mpya na faili la...
  19. JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

    Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…