Chadema kutoka kuwa chama cha upinzani hadi kuwa chama adui kwa serikali na wananchi wa kawaida

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu.

Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama kupambana na Korona utaweza kuona wazi wazi jinsi kilivyo wakera watanzania kwa swala la kulokudauni.

Hari za Watanzania wa kawaida ni ngumu hasa ilipoingia awamu ya 5 kwani imeziba mihanya mingi ya wizi na ufisadi, kulipa kodi automatiki mzunguko wa pesa ulipungua na Korona ilipoingia ndiyo ikawa hatari watu wakaanza hata kuchanganyikiwa, wakati hari ikiwa tete ndiyo Chama kikuu cha upinzani kikaja na nyundo nzito na hii ilikuwa ni kuwamaliza kabisa Watanzania kwa kushikilia bango watu wote wafungiwe ndani pasiwe na mtu wa kutoka nje labda askari polisi tu, hakuna hata kwenda kufanya palizi hata kuchunga ng'ombe hawa ni Chadema wamekuwa adui wa watu maskini.

Tazama katika elimu bure unaweza shangaa kabisa jinsi Chadema walivyo amua kuwa maadui wa watanzania maskini na si CCM, kwanza jinsi walivyokuwa wakiipinga utazani wote hawakuwepo pale viwanja vya jangwani katika uzinduzi wa kampeni wakati Mhs. Edward Lowasa alipokuwa akiimba elimu, elimu, elimu, elimu.

Chadema walisahau kuwa kuna watoto wa maskini katika nchi hii ambao kupitia elimu bure waliona kama mbingu zimefunguka. Ghafla wana Chadema maskini Tanzania nzima wakapigwa na butwaa. Khe! kumbe walitaka tuendelee kuumia, wengi hawakuilewa Chadema kabisa kwa kupinga elimu bure.

Kuna sinario ilitokea mwanzoni mwanzoni mwa awamu ya 5 nakumbuka Mh. Freemani Mbowe alijitokeza katika vyombo vya habari na kulaani kwa ngunvu kubwa tabia ya serikali ya awamu ya 5 ya kutumbua watu. Nakumbuka Mzee Mbowe akiongea kwa kushangazwa alienda mbali na kusema huyu Rais tumemchagua kuja kutumbua tu yaani kutumbua kilasiku kweli? Alihoji Mh. Mbowe.

Azikupita hata siku 2 Kasmu Mjaliwa Mh. Waziri Mkuu alikuwa kule Mtwara katika ziara zake za kawaida alitokea mama mmoja na kuleta taaruki kwani aliwashtua hata walinzi wa mweshimiwa kwani alipomwona tu Majaliwa amefika karibu yake alijitupa chini katika miguu ya Majaliwa kama furushi la viazi, lile tendo lilimstua pia Waziri Mkuu na kumuuliza mama vipi.

Mama akasema Mh. naomba unisaidie 100,000/= baba yangu atakufa dokta anataka hiyo pesa kwanza. Majaliwa akamuuliza mama kwani ilikuwaje yule mama maskini akamwambia dokta alisema nimpe 80,000/= ya dawa hivyo nikauza kuku na kujichangisha pale kijijini nikapata hile pesa nilipompelekea akasema sasa inaitajika 100,000/= kwa ajili ya upasuaji mimi sina hiyo pesa ndiyo niliposikia kuwa upo nikaona ngoja nije kwako utaweza kunisaidia babangu atibiwe Mheshimiwa.

Najua kila mtu anajua nini kilitokea kwani hili tukio lilirushwa live na ITV habari yule dokta alitumbuliwa saa ile ile. Sasa jaribu kuangalia huku Freeman analaani kutumbuliwa wakati wananchi wa kawaida wanateseka na tabia mabaya za baadhi ya madokta wakati Freeman na familia yake yeye atibiwi hapa nchini labda kuna siku alidondoka ghafla akiwa katika maandamano ndiyo alikimbizwa Muhimbili kwa bahati mbaya.

Jamani hivi wale maprofesa na wasomi wote waliojaa pale Ufipa kweli wanashindwa kucheza haka kamchezo kepesi hadi Magu anawatoa kabisa katika mstari. Hivi ni kweli hawajui kama akili inatumika zaidi ya nguvu, inamaana hata kama Dr. Slaa kaondoka kwani walikiwa awamwoni alivyokuwa anaumiza kichwa hata Mzee Kikwete nywele zilikuwa zinamuwasha na alikuwa anajikuna kila saa. Vijana wa Ufipa kweli hata kushauri tu kidogo hamtaki mnabaki kushadidia kweli?

Vijana wa chadema leo ngoja niwaambie ukweli upinzani bora kutoka Chadema unawasaidia pia hata wanachama wa CCM kwani huwa vijana na wenye uwezo wanapata nafasi katika chama lakini kama upinzani ukiwa zofli huku nako tunabweteka badilikeni hili kuleta maana ya upinzani na si kuwa adui mpaka kuumiza watanzania maski kwani leo watu wanaanza kuiogopa Chadema kwa sasa wanajiuliza hivi kama wangechukua nchi si wangetuua hawa?

Vijana wa Ufipa mimi naanza kwa kutoa ushauri hili ninyi muendelee kuumiza vichwa na si kutukana mitusi hakuna siasa nyepesi duniani.

Nashauri kwa mfano kwa watu waliosoma na hata wasiosoma.

Kwamfano kuna jambo limetokea katika jamii au linakuja kutokea au wanataka litokee kisiasa hapa inabidi wakae na kutafakari kwani huwa kuna jambo ni zuri kwa chama lakini ni baya kwa wananchi hivyo hapo ni lazima waumize vichwa hili kubalansisha swala hilo likubalike kote kote hivyo si vyema kuiangalia CCM tu na kulalia katika siasa bila kuhusisha komponeti zingine kama za kijamii, kiuchumi na za kisharia katika jamii inayohusika hapa mambo yangekuwa yanaenda vizuri na si kufanya siasa za mtu mmoja au siasa za Lema kwa Magu hata mgezikili bila nguo ni ngumu kufanikiwa.

Pili acheni hasira, acheni kutumia mitusi kama difensi mekanizimu, acheni siasa za kutafuta kiki, acheni kuamini katika siasa nyepesi nyepesi, acheni siasa za kususa kabisa, anzeni kuwa wavumilivu sana na wastaamilivu kwani mapambano ni prosesi, acheni kuokota wagombea hovyo amboa saa nyingine mliwasema kwa kujua au kutokujua.

Anzeni kuwapa uwezo wasomi kama akina Profesa Baregu, Profesa Safari na wengine wanakula mishahara ya nini Chadema wapewe uwezo wafanye kazi na si kuwa wanashinda mahakamani hapana. Chama kiondoke mahakamani kijikite na wananchi kutatua matatizo yao.

Chama kiache kabisa kuwaza maandamano kwanza niseme ukweli hata ukisoma katika mambo ya siasa maandamano kama tukichukulia vita ni siraha ya mwisho kabisa kutumika lakini Chadema wenyewe kilasiku wanawaza kuandamana.
Kufukuza mtu liwe jambo zito na mtu akikili asamehewe mapema.

Acheni siasa za kusema wamenunuliwa kwanini wasinunuliwe wakati Lowasa anaamia Chadema na iwe sasa au CCM kipindi kile ilikuwa haina pesa?

La mwisho, ingawa ni gumu hila lifanyike kuwa lepesi ni kuwa washushe pesa mpaka chini ambako ndiko kwenye wanachama wenyewe na si kuanagalia huko juu pekee hii itawapa moyo makamanda kuongeza mapambano.

Angalia sasa baada ya kujibu hoja itaanza mvua ya mitusi karibuni.
 
daza steven,

Ninaheshimu maoni yako. Ila nakukumbusha kuwa "lock-down is an approved scientific approach worldwide, and as such by WHO, to curb any pandemic in the shortest time. Another risky approach is herd immunity which calls for life sacrifice to infants and aging people, both having low body immunity.

This is the approach our respected government has adopted. Losing some lives (children and the aged) to save those who are not in that population bracket. CHADEMA suggested the first, and the ruling party opted for the second". Ugonvi na uadui kwa "wanachi wanyonge" uko wapi? Mbona unazua matatizo ambayo hayapo kwa kulaumu upande mmoja?
Pili, huu umasikini wa kipato wa wananchi wa Tz. kwa miaka hii yote ya uhuru umesababishwa na sera mbovu za CHADEMA?

Rafiki; "think before you write down something to JF members. You look very low!
 
Kwa hiyo Ndugu Mashamba hata kama Lockdown imependekezwa na WHO ndio kusema inawezekana kwa kila nchi? Au sababu Chadema ni wazee wa kick walitaka kujipaisha.
Hapa Tanzania Lockdown inawezekana?
 
Mkuu ukiona hivyo ujue dawa imeingia , na nakushhuri siku nyingine sema serekali ya CCM na wanchi useme wanchama wa CCM.
 
TZS 7,000/- Per day
 
CCM kutoka chama cha siasa hadi kuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala.
1582705136845.jpg
1582194705434.jpg
1583483628723.jpg
1583312723343.jpg
1584620697311.jpg
 
daza steven,

Ninaheshimu maoni yako. Ila nakukumbusha kuwa "lock-down is an approved scientific approach worldwide, and as such by WHO, to curb any pandemic in the shortest time. Another risky approach is herd immunity which calls for life sacrifice to infants and aging people, both having low body immunity.

This is the approach our respected government has adopted. Losing some lives (children and the aged) to save those who are not in that population bracket. CHADEMA suggested the first, and the ruling party opted for the second". Ugonvi na uadui kwa "wanachi wanyonge" uko wapi? Mbona unazua matatizo ambayo hayapo kwa kulaumu upande mmoja?
Pili, huu umasikini wa kipato wa wananchi wa Tz. kwa miaka hii yote ya uhuru umesababishwa na sera mbovu za CHADEMA?

Rafiki; "think before you write down something to JF members. You look very low!
To me whata I Know lockdowm is no longer approve scientific approve coz it face many criticism na pia inazalisha majanga mengine mabaya zaidi hivyo mimi binafsi nimependezwa na ujio wa Korona kwa upande mmoja kuwa mliokuwa unawaamini sana wazungu sasa mtaanza kuelewa sasa hivi karibuni kila kitu kama dawa tutazipata shamba, Mzee mashamba, tujivunie uafrica na wanasayansi wetu wa kiafrika mzee wa mashamba
 
T
[/QUOTE]
To me whata I Know lockdowm is no longer approve scientific approve coz it face many criticism na pia inazalisha majanga mengine mabaya zaidi hivyo mimi binafsi nimependezwa na ujio wa Korona kwa upande mmoja kuwa mliokuwa unawaamini sana wazungu sasa mtaanza kuelewa sasa hivi karibuni kila kitu kama dawa tutazipata shamba, Mzee mashamba, tujivunie uafrica na wanasayansi wetu wa kiafrika mzee wa mashamba
 
Kwa hiyo Ndugu Mashamba hata kama Lockdown imependekezwa na WHO ndio kusema inawezekana kwa kila nchi? Au sababu Chadema ni wazee wa kick walitaka kujipaisha.
Hapa Tanzania Lockdown inawezekana?
Mkuu kwanini unatuvua nguo CCM.Ina maana kuanzia 1961 mpaka leo 2020 tumeshindwa kuweza kuwahudumia wananchi ata mwezi mmoja kwa kuwapa chakula,dawa,umeme,maji nk kama Serikali?
Ina maana nchi yetu ni maskini kiasi hicho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom