serikali

  1. M

    Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

    Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo ! Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu! Hali inatisha na kuogofya ...! mfano jioni...
  2. Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

    Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
  3. Serikali, tuzike watakaopeteza Maisha kutokana na COVID19 kwa heshima. Utaratibu uwekwe wazi

    WanaJF, Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi. Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
  4. M

    Baada ya Serikali kutoonyesha ithibati kwenye mapambano dhidi ya Korona, Wananchi wameanza kurelax

    Siku za hivi karibuni serikali imeonekana kuacha kuweka msisitizo juu ya mapambano dhidi ya Korona, Si waziri mkuu wala Waziri wa Afya wala mganga mkuu wa serikali wameonekana kuja mbele kuendelea kuukumbusha umma kuwa tuna hali ya hatari. Hawatoi tena updates ya waliopona, walioambukizwa, vifo...
  5. Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  6. Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
  7. Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

    Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19. Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
  8. Serikali yafafanua madereva kuzuiwa kuingia Zambia

    Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu Idara ya Uhamiaji nchini Zambia kuwazuia madereva wa IT katika mpaka wa Tunduma Mkoani Songwe kuingia nchini Zambia, ikiwa ni katika kujikinga na Virusi vya Corona. Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Juma Said Irando ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya...
  9. TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

    Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo. Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa. Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo. Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa...
  10. Ujerumani waandamana kupinga hatua ya Serikali kuendelea kuwafungia ndani wanasema wanataka kuachwa huru

    Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop humiliating us Wastani wa waandamani elfu moja walimiminika kuandamana kupinga kuendelea kufungiwa ndani...
  11. Serikali yatoa muongozo wa mitihani ya kitaifa

    BARAZA la Mitihani la Tanzania, katika, litafanya upimaji wa kitaifa na kuendesha mitihani kwa watahiniwa wa madarasa mbalimbali, kikiwemo kidato cha sita chenye watahiniwa 90,182 katika mwaka wa fedha 2020/21. Pia katika mwaka huo, Baraza litaendesha mtihani wa kidato cha Nne kwa watahiniwa...
  12. Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

    Mzee Fredrick Mchauru ambae ni mtanzania wa kwanza kuwai kupata scholarship nchini Tanzania ametimiza miaka 100 leo April 25. Mzee Mchauru alizaliwa tarehe 25 April mwaka 1920 huko Newala Mtwara na alisoma Sekondari ya Chidya na Minaki. Mzee huyu alikua katibu mkuu katika serikali ya kwanza...
  13. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli...
  14. Inapotokea shida ya kitaifa Serikali in haki zake

    Taifa lolote duniani Kati uhai wake lazima lifikwe na majanga au shida fulani hii ya korona ni mojawapo ila katika ngazi ya kidunia. Haki za serikali nchi inapopatwa na shida ni hizi zifuatazo Kama nionavyo Mimi superbug. Kulindwa Kuheshimiwa Kuvumiliwa Kusaidiwa Kuachwa itende kwa Uhuru...
  15. Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  16. Serikali yatangaza bei ya kikomo ya Sukari; ipo kati ya Tsh. 2,600 na Tsh. 3,200 kwa kilo kutegemea na Mkoa

    Serikali imetangaza bei ya ukomo ya Sukari kwa rejareja katika Mikoa yote nchini, ambapo kwa Dar es Salaam itauzwa kwa Shilingi 2,600 kwa Kg 1, Mbeya 3,000, Mwanza, Dodoma na Shinyanga 2,900, Kigoma 3,200, Arusha na Kilimanjaro ni 2,700, Kagera na Mara ni 3,000. Aidha kwa Mikoa ya Lindi na...
  17. Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Wote tumemsikia rais wetu jana. Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa". Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown. Lakini, mimi naona...
  18. Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  19. Hakuna lockdown, Basi tuonyesheni mipango

    Wana jamvi Nilitamani niandike haya maoni yangu mapema wiki hii ya kwanza ya paska lakini nashukuru Leo nimeandika. Maambukizi yanaendelea kupaa kwa kasi tofauti na mtazamo WA awali licha ya waziri Ummy kueleza maambukizi ya ndani yameanza lkn hakutuonyesha mipango madhubuti. Pia waziri Mkuu...
  20. Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

    Akifunga kīkao cha Bunge jioni ya leo, Spika Job Ndugai ametangaza kuwa mazishi ya Mama Rwakatare yatafanyika siku ya tarehe 23 Aprili na yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa Moto. Taarifa rasmi zinasema mama hajafariki kwa Corona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…