Hatimaye, Mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda, wazikwa na Serikali

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.

Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
6.jpg
IMG-20200428-WA0019.jpg
IMG-20200428-WA0018.jpg
 
RIP Mmanda,
hapo ulipozikwa sidhani kama ni makaburini, naona kama ni porini vile,,,,
 
Mh! Hii mbona hatari sana hii kitu! Kama mkuu wa wilaya na wakili msomi maziko ndio haya, kwa makapuku huko ndege beach kwa kondo hali ikoje? Balaa hili.
Kuamkia jana na leo maiti za kutosha zimezikwa huko...Wamejaza askari kila kona...Wajinga sana hawajui hao askari wengi ni ndugu zetu na marafiki zetu wanatupa data zote.

Aibu ya korosho imehamia kwenye Corona.

LAWAMA ZOTE ZIMUENDEE MZEE WA MSOGA ALIYEINGIA NA MAJINA MFUKONI, MATOKEO YAKE KATULETEA KITUKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo kuzikwa ni kuzikwa tu ila inahudhunisha sana aisee uzikaji huu. INAUMA SANA!
Inauma mno. Yaani siku hizi mgonjwa wako akipelekwa isolation (quarantine) ndio basi tena. Hmtakaa mumunone wala kumzika, ni bora mumuage kbs akiwa anapelekwa.
 
Back
Top Bottom