serikali

  1. D

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali isipobadilisha Sera zake 2020-2025 watu wengi watakosa ajira

    Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana. Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo Wana punguzwa. Na makampuni mengi yanasubiri uchaguzi upite wapunguze watu hiyo sio Siri. Sera ya...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

    Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa Samia aliposema hata tukimchagua Tundu Lissu CCM itaendesha serikali. Usipigie kura mbunge wa upinzani

    Wote hamkumwelewa Samia, Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili. Hali iko hivi. Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka Mbagala, namsikiliza JK akimnadi Magufuli, JK anazungumzia mafanikio ya Serikali yake badala ya kazi za Magufuli

    Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msafara wa kampeni za mgombea Urais wa CCM unagharamiwa na Chama au na Serikali?

    Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi. Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia

    Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia. Mtakumbuka kuwa siku za hivi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

    Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

    Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu. Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANAPA, je wanaozima moto Mlima Kilimanjaro mnawajali au mnawapuuza?

    TANAPA ni shirika kubwa sana linakusanya pesa nyingi kupitia Mlima Kilimanjaro ila cha ajabu ni kwamba, waliokwenda kuzima moto mlimani ni waliambiwa wawe watu wa kujitolea ambao walikusanywa Mgambo wa Kilimanjaro na Arusha hawa ni miongoni mwa waliokwenda kusaidiana na wengine kuuzima moto...
  11. JamiiForums Tanzania Je, tuanze kujadili uwezekano wa kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa/Mseto?

    Habari za wakati huu, Najua kwa wenye macho tayari wameanza kuona kitu hakiko sawa. Kwa wale waelewa tayari wameanza kuona dalili za nchi kupoteza uelekeo. Nianze kwa kuelezea hali ya Upinzani. Upinzani wa mwaka huu sio sawa na wa miaka ya nyuma. Ni upinzani uliokomaa, na ulio tayari kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna Pesa za Jimbo la Kawe ni hawa hapa...

    Kwa muda mrefu hivi sasa kumekuwa na propaganda kuhusu utafunwaji wa Pesa za Mfuko wa Jimbo huku wengi wakimtuhumu Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kuzitafuna pesa hizo! Ingawaje waendesha propaganda hawa wanataka kuaminisha watu kwamba mkwamo wa Jimbo la Kawe unatokana na ulaji wa fedha za jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali inayokuja isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiri

    Habari JF... Serikali inayokuja, isifanye makosa tena kwenye kusomesha na kuajiribEspecially Madaktari na walimu.. Kumsomesha mtu ambaye una uhakika hutompa kazi Ni wastage of time and resources! both,kwa mwanafunzi na serikali.. Leo tuisaidie serikali inayokuja Isirudie mambo haya ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali 2020-2025

    Habariiii Ndugu wananchi ninaomba kushauri mambo yafuatayo kwa serikali kuanzia 2020-2025. 1.Iajiri maafsa wa kukusanya mapato wengi mpaka ngazi ya kata,kijiji na mtaa.Kazi yao kubwa itakuwa kukusanya mapato kwa ufanisi kulingana na sheria na kanuni zinavyosema.H...
  16. JamiiForums Tanzania BBC, habari za moto Mlima Kilimanjaro anaripoti mwandishi kutoka Kenya, ni sahihi?

    Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/ Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba. Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota. Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kupokea Tsh Bilioni 100 kutoka Barrick, sehemu ya Bilioni 700 ya kishika uchumba

    Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
  19. JamiiForums Tanzania RC Singida: Serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani ya nchi

    MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…