Nabii Suguye: Viongozi wa Serikali watubu kabla mwaka haujaisha kwa 'blunder' zilizofanywa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Katika mahubiri yanayoendelea WRM leo jumapili 27/12/2020, Nabii Nicolaus Suguye amewataka viongozi wa serikali wakatubu kwa blunder zilizofanyika ktk uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Ameongeza kwa kusema kuna watu wamekufa na wamesononeka kufuatia blunder hizo. Wakatubu kabla mwaka kabla mwaka haujaisha, ili taifa lisonge mbele. Vinginevyo mwaka 2021 utakuwa mgumu kwao.

Pia nabii Suguye amesema alikuwa mtu wa kwanza kutabiri kuwa korona itatoweka haraka nchini Tanzania.

Ibada inaendelea...
 
Mtu anaiita sexless unafikiri anakili kama demu anableed miaka mitano mtawaliwa unadhani atakuwa na akili timamu
Mleta mada ni mjinga!

Akihubiri kuhusu watu kutubu kuacha dhambi kama uzinzi, ulevi na wizi haleti mada hapa. Ila akihubiri juu ya siasa ndio mbiombio kuleta humu
 
Kufikia Ijumaa ya wiki hii kama hajakamatwa kwa kuishi nchin bila kibali mtanambia....
 
Back
Top Bottom