serikali

  1. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi wa Serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi

    Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi. Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba. Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote...
  3. JamiiForums Tanzania TBC ni ya mtu binafsi, chama, Serikali au wananchi?

    Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie utendaji wa uongozi wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Wakuu habari zenu hapa ndani? Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kuboresha maeneo ya kitalii kama haya kujiongezea pesa kuliko kuendelea kukamua walalahoi kwa vitu vidogo?

    Kwa sasa kilo moja ya ngano imefika 1500 na inakwenda juu, vivyo hivyo kwa sembe. Kuna jamaa mmoja kanipigia simu anadai bandarini huko wanakamuliwa sana ndio maana mitaani mambo yamebadilika. Tuna maeneo mengi sana ya kitalii yanaweza kuingizia serikali pesa nyingi tu,shida inakuja je haya...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na Vitambulisho vipya kwa Machinga vitakavyodumu zaidi ya mwaka

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mchakato wa kutoa vitambulisho vipya vya wafanyabiashara wadogo. Mtendaji mkuu huyo wa shughuli za Serikali ameagiza machinga kutosumbuliwa katika biashara zao huku akiwataka wajasiriamali hao kutotumika na wafanyabiashara...
  8. JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Double Standard za TRA kwenye kurejesha/kufidia gharama za EFD mashine

    Hii ipo haswa kwenye taasisi zinazokusanya ushuru na mapato. Mfano ni hii. Wao (TRA) wanasema ukinunua mashine ya EFD una haki ya kurudishiwa gharama kwa punguzo la kodi, kufidia gharama ulizonunulia mashine. Picha linaanza mashine umenunua mwezi wa 10 mwaka 2020, kumbuka hapo ulishakadiriwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiige mfumo wa elimu kama IST?

    Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary. A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills. Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mamalishe Mtwara walia kupanda bei mafuta ya kula na unga wa ngano waomba Serikali iingilie kati!

    Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano. Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela unawafanya wapate hasara kubwa katika shughuli zao na endapo serikali haitaingilia kati hali itakuwa mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma atakuwa na furaha pindi tu Serikali itakapoamua kumkopesha bila riba

    Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3. Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu kuchukua video na picha za uwanja mpya wa JNIA, vibali vitolewe kwa wanaotaka kupiga picha

    Picha na Pixabay. Uwanja mpya wa JKNIA ni kioo cha nchi yetu yaani ni kama uso au sebule au mapokezi ya wageni wanaotembelea nchi yetu. Uwanja wetu mpya wa JKNIA unasifiwa kuwa ni moja ya viwanja vipya vya ndege ambavyo vina hadhi ya kimataifa na sifa hizo ni kutoka kwa wageni mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo wa utoaji chanjo ya mifugo nchini

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini, wenye lengo la kuhakikisha sekta binafsi na umma zinajua haki na wajibu katika zoezi zima la utoaji wa chanjo na kuhakikisha afya ya mnyama inabaki salama. Waziri Ndaki...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

    Natafakari tu. Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma. Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kupunguza muda wa kusoma darasani, vijana wanazeekea shuleni!

    Ukweli ni kwamba mambo mengi yanayofundishwa shule ya msingi ndio hayo hayo yanafunzwa shule ya sekondari. Ushauri wangu ifanyike review ya mitaala ya elimu yetu na masomo yanayowezesha elimu ya kujitegemea yaongezwe. Tupunguze mfumo wa elimu ya white colar na badala yake tuweke mfumo wa elimu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

    Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…