serikali

  1. JamiiForums Tanzania Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Serikali iache kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi

    Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato. Kwa sababu hali ile haikuwa ya kawaida, wengi tulijua kuwa mlifanya vile ili kuwakomoa viongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa umakini haya magroup ambayo yanaanzishwa na Madaktari kutibia watu na kutoza pesa

    Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari. Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi...
  4. JamiiForums Tanzania Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

    Habari wakuu. Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi. Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi. Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda. Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Hospitali Binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo

    Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza bei na kutahadharisha kuwa siyo kila mwenye matatizo ya kupumua ana Corona. Source ITV habari...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

    Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda. Chanzo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni tàkwa la kimaadili kuiamini Serikali

    Sio sahihi raia kutilia Shaka taarifa za Serikali. Tukumbuke ina dhamana kubwa kuliko sisi wote mmoja mmoja. Serikali inafanya Mambo kwa mujibu wa sheria na matakwa ya kikatiba kwa maslahi mapana ya nchi na taifa kwa ujumla. Kuteleza kumo kwani Serikali haziongozwi na malaika. Niwajibu wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Huduma ya kusambaza maji imewashinda mmeamua kufanya biashara ya kuuza mabomba kwa Wananchi

    Napenda kuishauri serikali kuu kuzuia taasisi zake kuacha biashara ndogo ndogo kwani kufanya hivyo ni kuzuia kukua kwa biashara na wajasiliamali kwa ujumla hivyo kupunguza mzunguko wa pesa na kuikosesha serikali kodi. Mfano shirika la kusambaza maji Morogoro MOROWASA linalazimisha wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

    Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'. Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
  11. JamiiForums Tanzania Baba, mtoto matatani kwa tuhuma za kuuza dawa za Serikali wilayani Newala

    Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali. Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi. Dawa hizo ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Serikali. Matuta yaondolewe na Barabara zilizopakwa Lami ziwekwe Lami

    Nimekuwa nikipigia sana kelele suala la kuwa na barabara ambazo zimepakwa lami na baadaye kuja wekewa matuta Serikali iziangalie. Ni mwaka wa tatu huu napata changamoto kila napowaza kununua gari za chini zenye speed. Ukiangalia barabara nyingi za hapa TZ ni kama barabara za lami.ila watu...
  13. JamiiForums Tanzania Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

    Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini? Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali yangu

    Pongezi kubwa kwa mhe Rais wetu kujenga kilometa nyingi bila kufanya maonyesho ya bila mimi msingepata barabara. pia pongezi nyingi kwa Raisi aliyepo kwa kundelea kuchapa kazi ambayo matunda yake yameonekanana yanaendelea kuonekana. Pamoja na yote hayo hatuwezi kukosa changamoto. Kuna maswali...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ondoeni Majeshi yenu huko Somalia kisha imarisheni ulinzi mkali na ndani

    Hili ni bandiko la WITO Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe. Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi wa Serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi

    Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi. Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba. Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…