Uchaguzi 2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni.

Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu.

Kuna wengine walienguliwa kwa wakurugenzi kuharibu fomu zao kwa kuongezea maandishi yasiyohusika, na kuna majimbo mengine madiwani wamepelekewa mapingamizi wakati muda wa maingamizi umeisha.

Chadema imesema, kwa miaka mitano imevumilia uonevu na manyanyaso lakini sasa haitokubali. Imesema kama kulia sasa watalia wote, hawaotoubali kulia peke yao!

Kwa habari zaidi angalia video hii hapa chini:

 
Jikite kwenye hoja.

Kila siku mnatoa maonyo, mnatishia na kusababisha vurugu sehemu nyingi. Watanzania wanaelewa mnachokilazimisha ni kuvunja amani kwa manufaa ya wanaowatuma.

Baba wa Taifa aliwahi kusema kuwa ....CHAMA CHA SIASA KINACHOVUNJA SHERIA ZA NCHI MARA KWA MARA HATIMAYE KINAGEUKA KUWA KIKUNDI CHA KIGAIDI.....

Jipimeni
Na kile kinachowateka washindani wao wasirudishe fomu ni chama cha wafugaji ?!
 
Yes, this is what is required....

Harshness and aggressiveness....

Magufuli na watu wake hawatakiwi kuchekelewa tena. It's time to dance the music...

Wanatakiwa wajue kuwa, wananchi ndiyo wenye nchi hii na wanaweza kuamua kumuweka yeyote wanayemtaka awaongoze....!!
 
Chadema wanarohombaya ya chuki na husda.Ukiwa Chadema kuona ufalme wa Mungu ni mwiko.
awaishi uzushi na kuongeza mambo ili kuwajaza watu chuki wawe na ujasiri wa kuvunja amani yetu.
Mungu walaani Chadema na uwaangamize"aamin"
Kuandika kwenye shida. Pole mkuu.
 
Kwa sasa violence ndo soln pekee tumetumia diplomasia kwa zaidi ya miaka 20 kuomba tume huru imeshindikana
Dah Bro usiombe Haya Mambo utasahau hata Kama Uliombea hii Swala Angalia watu waliofikiriaa Violence ndio Solution Millions of people died for what!! Mnataka watu Wafe ili Tundu Angie Madarakani je mtakuwa mmeleta Tofauti
 
Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni.

Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe fomu...
safi sana Chadema!! Waafrika bila kuchapana hatujuagi kufanya mambo kwa akili. Sasa lolote na liwe tu. Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja
 
Back
Top Bottom