Mabibi na mabwana tunayoyaona sasa ni mwendelezo wa chuki zinazoletwa na mambo kama haya:
www.mwananchi.co.tz
Kwanini shughuli zingine kwa mujibu wa sheria tu, ziwe zina expiry dates isipokuwa kwa kazi za wanasiasa wa hapa kwetu?
Pana haja ya kupitia taaluma zote kuwa katika mazingira yale yale ya wanasiasa kimsingi. Yaani minimum qualifications terms and conditions.
Wanasiasa marurupu lukuki, hawalipi kodi stahiki, hawana expiry dates kwenye shughuli zao nk.
Wajameni mbona wanasiasa (rais, makamu rais, mawaziri, wabunge, nk), mu wabinafsi ki hivyo bila ya kuwa na chembe hata ya huruma?
Heko CWT na wengine tuyakatae masharti fyongo kama haya, yanayowekwa na kupitishwa na kina wasukuma na kina wabajaji yasiyokuwa na msaada wowote kwa walengwa, zaidi ya kuwanyonya na kuwakandamiza hata zaidi.
CWT wapinga uanzishwaji bodi ya walimu
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimeendelea kupinga kwa mara ya pili uanzishwaji wa Bodi ya Kitaaluma ya Walimu (Tanzania Teacher’s Professional Board).