serikali

  1. JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali isitishe zoezi la sensa mwakani 2022 ili pesa hizo zitumike kuboresha Sekta ya Kilimo

    Huu ni ushauri tu, Suala la sensa limetumika kipindi cha kale kuweza kupeleka huduma eneo husika. Mathalani nchi yetu haina mass internal migration ya watu na ongezeko la watu kwa nchi yetu linachangishwa na factors mbili tu ambazo ni birth rate factors and mutality rate factors tofauti na hapo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tunaambiwa na Serikali tuchukue tahadhari ya Corona lakini matukio mengi ya chama na Serikali hayana hiyo tahadhari

    Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona? Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa. Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
  6. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

    Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida. Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida. Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu. Natoa rai kwa Serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni takwimu kwa mujibu wa mapendekezo

    Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake. Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Hata hivyo katika yote, mawili haya yangalipo yakielea angani yakiendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha leseni kwa maduka ya kubadili fedha yatakayokidhi tathmini inayofanyika

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, ameagiza wataalamu wa wizara hiyo kufanya tathmini ya maduka ya kubadilisha fedha na kurejesha leseni kwa wenye vigezo ambao awali walifutiwa. Katika mahojiano na Kituo cha Azam TV jana, Dk. Nchemba alisema kwa sasa wanafanya tathmini mpya...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifumo mingi ya serikali imelala, asilimia kubwa ya Wanachi tunaumia sana

    Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi. Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali. Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…