serikali

  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali mtusaidie kufungua mifumo tupate mikopo

    Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini? Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

    Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso. Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Rais Samia kuisuka upya Serikali yake, hujuma zimeanza kuwa za waziwazi

    Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

    Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam. Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  6. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

    Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani. Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaendeleza ukandamizaji dhidi ya Vyombo vya Habari

    Mamlaka Nchini Belarus zimevamia Ofisi za Chombo cha Habari cha Tut.by pamoja na makazi ya Mhariri ambapo Tovuti hiyo imetolewa hewani. Maafisa wamesema ni kutokana na Kesi ya ukwepaji mkubwa wa kodi. Matukio ya uvamizi ni sehemu ya ukandamizaji unaofanywa dhidi ya wanaopaza sauti...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yasema Mahakama inashikiliwa na inalenga kudhoofisha nchi

    Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county. It came after the high court ruled that President Emmerson Mnangagwa's extension of the chief justice's term by five years was illegal. In...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kukagua viwanda ambavyo vinasuasua au ambavyo vimeshindwa kujiendesha na kuwapa wawekezaji wapya

    Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri. Viwanda...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa. Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya ziwa Victoria. Amesema ni vema Kanisani pakawa ni mahali pa watu kumuabudu Mungu na kamwe pasiwe...
  13. mrMaco

    JamiiForums Tanzania Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho. Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

    Mambo vp jamiiforums Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo. Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

    Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  18. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Je, tutakuwa tumechelewa mama tukiiomba serikali ya awamu ya sita ianzishe uchunguzi dhidi ya tukio la kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu?

    Friends and Enemies, Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE, Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la kushambuliwa nusura auwawe Mh Tundu Lissu. Siyo speaker wa Bunge, siyo jeshi la polisi, siyo mahakama...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  20. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
Back
Top Bottom