serikali

  1. beth

    Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli...
  2. M

    Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  3. C

    Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  5. Jesusie

    Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    == Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
  6. Suzy Elias

    Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama. Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo. Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua...
  7. beth

    Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  8. funaku

    Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

    Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya. Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali. Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
  9. K

    Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  10. JET SALLI

    Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

    Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa? Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia...
  11. ommytk

    Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  12. Kichuguu

    Serikali Kubwa Ni mzigo

    Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni serikali ambayo huwa haina ufanisi kutokana na baadhi ya maeneo ya utendaji kuingiliana. Kipindi cha...
  13. Guselya Ngwandu

    Sugu ashauri watu waache pombe ili kuikomoa Serikali. Unakubaliana naye?

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba. Sugu amesema kwa mawazo yao wao CHADEMA ni vyema Serikali ikakosa kipato (Ishindwe kuhudumia wananchi na watu wakose ajira), na hilo...
  14. E

    Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  15. J

    Bashe: Serikali kuunga mkono sekta binafsi katika uzalishaji wa mbolea nchini

    BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma. Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
  16. Lord Denning

    Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

    Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu kwenda kwa usahihi na kupata matokeo sahihi, Si mwingine ni Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
  17. B

    Serikali iangalie matumizi ya IST, Subaru,Altezza, Vitz na usafiri unaofana na hivyo vitu. Kuna Majanga mengi

    habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
  18. N

    Serikali imulike tatizo la wapiga debe nchini

    Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi. Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi kuchukua abiria au hata kumpa lifti jamaa yako kwa kuwa tu wao huwa wanajimilikisha hao abiria na...
  19. Lexus SUV

    Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
  20. markp

    Waziri Ndalichako, naona kama Elimu haiendeshwi naye bali inajiendesha yenyewe

    Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe. Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Back
Top Bottom