serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnapofumbia macho Rushwa ya Trafiki mnazidi kuwachonganisha wanyonge na Serikali

    Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku. Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wizara za Serikali zinapaswa kuwa kwenye Katiba kuepusha usumbufu

    Kila Rais (sio Chama wala Serikali wala wananchi) amekuwa na maamuzi yake mwenyewe ya kuhusu idadi ya Wizara, Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu. Hii imekuwa na usumbufu sana sana kwa watendaji na pia imekuwa ikiathiri Bajeti na hata Mipango ya nchi. Kwa mfano...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosolewa kwa Constructive Criticism, je, Ifuate Ushauri? Hongera Bunge letu tukufu kufuata ushauri na kutuondolea ubatili huu

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo, 30.01.2022 Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huteremka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo ni swali na pongezi. "Serikali inapokosolewa kwa constructive criticism, kama ushauri uliotolewa ni ushauri nzuri wenye maslahi kwa taifa, jee serikali...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

    Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi kila kata au Kijiji na kupeleka walimu na vitendea kazi. Vijana wasome bure, yaani kila kijana aliye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  8. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Serikali yaokoa mabilioni ya fedha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

    Mwandishi wetu -- Arusha Zaidi ya kiasi cha sh,1.5 bilioni zimeokolewa katika ujenzi wa jengo la Ufundi Tower linalojengwa katika chuo cha ufundi mkoani Arusha (ATC) ambalo awali serikali ilivunja mkataba wa ujenzi na mkandarasi wa awali. Awali chuo hicho kiliingia mkataba na kampuni ya Tanchi...
  9. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Kama serikali isipodhibiti vitendo viovu vya Askari Polisi/JWTZ tutegemee mauaji zaidi ya raia kufanywa na walinzi hawa wa Amani

    Jumapili iliyopita nilisafiri kikazi toka Mbeya nilikokuwa kikazi kuelekea Rukwa hususan wilaya ya Nkasi ambako nilikuwa naendelea na majukumu ya kiofisi. Eneo la kazi Kwa mkoa wa Rukwa ilikuwa ni Kabwe na Kipili Wilayani Nkasi na Kasanga Wilayani Kalambo ambako kuna miradi ya ujenzi wa bandari...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia kuondoa Hali ya Dharura iliyowekwa baada ya Vikosi vya Tigray kutishia kwenda Addis Ababa

    Serikali imeridhia kuondolewa Hali ya Dharura ya miezi sita iliyowekwa Novemba 2021 baada ya Vikosi kutoka Tigray kusema vilikuwa vinaelekea Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa Mwezi Desemba, Mamlaka zilisema Jeshi lilikuwa linaondoa Vikosi vya Tigray katika Mikoa ya Amhara na Afar. Waziri Mkuu...
  11. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga uwanja wa ndege Manyara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwada wilayani Babati. Picha Mussa Juma Babati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itajenga uwanja wa ndege wa Mkoa wa Manyara ambao utasaidia kukuza sekta ya utalii. Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazindua mradi wa akili bandia

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Imani kubwa ya Wachina kwa Serikali yao imethibitisha nini?

    Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%, na kushika nafasi ya kwanza duniani. Katika miaka ya karibuni, nchi za Magharibi zimekuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hospitali ya Muhimbili kujengwa upya, itawekewa miundombinu ya kisasa

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa. Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi. ===== Muhimbili...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lampindua Rais Kabore. Lasimamisha Katiba na kuvunja Serikali

    Mbali na kusema Rais Roch Kabore amepinduliwa Jeshi Nchini humo pia limesema Bunge limevunjwa na Mipaka ya Taifa hilo imefungwa. Uamuzi huo umesainiwa na Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Jeshi limesisitiza Mapinduzi yamefanyika bila ghasia na watu wanaoshikiliwa wapo sehemu salama...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  17. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe hardship allowances kwa Walimu wanaofundisha Vijijini

    Waziri mpya wa TAMISEMI na Waziri mpya wa Elimu wanatakiwa kulichukulia kwa uzito suala la walimu wanaofundisha vijijini kwa kuwapa motisha mbalimbali ili maombi ya uhamisho wa walimu ipungue. Imekuwa mtihani mkubwa kwa watumishi hawa wa elimu kukaa vijijini ambako huduma...
  18. Bikis

    JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabeyo: Jeshi libuni miradi kuisaidia Serikali

    MKUU wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vikosi vya jeshi kutumia wataalamu wa ndani kubuni miradi ya kimkakati na kuhimiza uadilifu kwenye miradi iliyokamilika. Mabeyo alisema hayo wakati wa kuzindua kituo cha mafuta cha R971 kilichojengwa na jeshi eneo la Ihumwa. Alisema jeshi kama...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Serikali yakanusha uwepo wa jaribio la mapinduzi

    Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi Burkina Faso Ouagadougou Unruhen Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
Back
Top Bottom