serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti binafsi: Machi 2022 ajali za barabarani zimeua watu 56, Serikali chukueni hatua

    Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti. Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  5. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Tofauti na kugawa fedha moja kwa moja kwa wananchi, njia zipi zitumike kuhakikisha kwamba mafanikio ya Serikali yanawafikia Wananchi?

    Wanabodi, Takwimu mbalimbali zinaonyesha jinsi ambavyo uchumi wa Tanzania umekuwa ukibadilika. Ingawa njia hii inaweza isielezee kwa uhalisia kinachojiri kwenye nchi tofauti, GDP bado ina angaliwa sana kwenye masuala haya ya uchumi. Kwa Tanzania, GDP imekuwa ikiongezeka kwa asilimia fulani...
  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Serikali inanunua ndege kwa mbwembwe huku wanafunzi 65,000 wanakaa chini!

    Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo? Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani? Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini. CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu...
  7. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania. Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye mamlaka ya Serikali. Tujadili ni aina gani ya masomo tunayohitaji yafundishwe kwa watoto wetu, Watoto...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

    Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali yaweka Shilingi bilioni 12 kwa utekelezaji wa miradi ya maji Mtwara

    Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuiburuza Sekretarieti ya Ajira (Utumishi) na Serikali Mahakamani

    Kama ilivyo kwa mataifa mengine duniani, Tanzania pia ilianzisha chombo cha kusimamia na kudhibiti taaluma ya uhasibu. Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni Taasisi inayosajili na kusimamia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu na kudhibiti taaluma ya Uhasibu nchini. NBAA...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaingilia kati taarifa ya unyanyasaji wa wafanyakazi Kampuni ya Pepsi, Waziri asema anaenda kiwandani hapo

    Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
  14. Interest

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  15. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kituko Serikali ya Kongo DRC: Ina watumishi wenye umri wa miaka 100 ambao hawajastaafu

    Hapa Tanzania tunapiga kelele kuhusu ajira. Wengine tunataka umri wa kustaafu upunguzwe. Ukienda Congo DRC utaona vituko. Kuna watumishi wengi wa serikali wenye umri wa miaka 70 na zaidi waliopaswa kustaafu wakiwa na miaka 65. Cha kushangaza kuna zaidi ya watumishi 250 waliofikisha umri wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Utatuzi bei ya mafuta: Serikali punguzeni matumizi ya V8. Mna matumizi makubwa sana, Afrika mpo nafasi ya pili

    Wanabodi, Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto, Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna, Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
  17. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli. Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

    Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha. Leo Hukumu...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini. Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT. Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga Na sasa amengia...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunamuamini Twaha Kiduku, hatotuangusha

    SERIKALI imesema ina imani na bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ kuwa atafanya vizuri katika pambano lake lijalo la kimataifa dhidi ya bondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Alex Kabangu na kumtakia kila la heri. Kiduku anatarajiwa kupanda ulingoni Jumamosi hii katika pambano la raundi...
Back
Top Bottom