serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau wa biashara waiomba serikali kutoipa TICTS mkataba mpya

    WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

    Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18 Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4. Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Ofisi ya SERIKALI ambayo wanajibu Emails? Au kupokea simu?

    Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi.... Update............. Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
  6. JamiiForums Tanzania Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

    Moja kwa moja kwenye mada, Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki. Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu. Ili kukabiliana na Hali...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yakata rufaa dhidi ya Kesi iliyokuwa ikimkabili Bosi wa Golden Tulip

    Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia kesi ya uhujumu uchumi aloyekuwa bosi wa Golden Tulip, Serikali imemkatia rufaa Mahakama Kuu ikitaka kesi hiyo irejeshwe, ikidai kuwa Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huo wala kusikiliza pingamizi. Mfanyabiashara Jitesh...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

    Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari? Yani hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda. Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
  11. JamiiForums Tanzania Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao. Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki. Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati. Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi nchini Kenya yapiga marufuku Maandano ya kupinga kuondolewa kwa wamasai wa Loliondo

  15. E

    JamiiForums Tanzania Ili Kuchochea Kilimo, Serikali itoe ruzuku kwenye nafaka za kuuza nje

    Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi. Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea. Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili tuweze kuishauri Serikali

    Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Serikali kuna vitu inajitakia

    Nimesikia watumishi waliotumbuliwa jiji la DSM. Lakini hebu tujiulize Afisa biashara wa halmashàuri/jiji mwenye degree salary in laki 7.1 akikatwa inabaki laki 5. Afisa huyu mmoja anakusanya zaidi ya milioni 500 kwa mwaka. Kwa hali ya kawaida mnamuweka majaribuni. Mbona TRA na taasisi nyingine...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi wakitaka kushirikiana na Serikali wanazungushwa mpaka wanakata tamaa wanaondoka

    Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu. Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia. Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…