serikali

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa TANEPS hauisadii Serikali?

    Je, huu mfumo wa manunuzi serikalini kupitia TANEPS hauisadii serikali. Ukisikiliza Ripoti ya CAG 2020/2021 unachoka kabisa, yaani kifaa ya mil 20 kinanunuliwa kwa mil 100 tender mfano ya kuongeza kina cha Bandari Tanga from bil 40 to bil 104. Serikali watumie to force account kupunguza...
  2. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inaupiga mwingi...Sikia Video hii

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali izingatie mambo yenye tija kwa Vijana

    Mbunge Judith Kapinga ametoa wito kwa Wizara inayosimamia masuala ya Vijana kusaidia Wizara nyingine kuona mambo yenye tija mwa Vijana Amesema masuala yanayohusu Vijana yanahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini kwasababu changamoto ya Ajira ni kubwa Ameongeza, changamoto ya Ajira...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ili Kuongeza kipato kwa Serikali nimewaza kitu kimoja

    Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia mwaka 2015. Iwe gari zinazoingizwa nchini zisiwe zimepita miaka 5 toka kutengenezwa na zisome...
  7. kababu

    JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  8. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  9. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inalazimisha wananchi wake waiseme vibaya na waichukie?

    Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo? Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake? Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya sekta ya nishati ni tatizo la Serikali, kumtwisha Januari Makamba ni kutufanya watanzania mazuzu!

    Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi! Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

    Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi...
  15. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Majengo ya Serikali: Wahandisi Wetu Mnakwama Wapi?

    Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi n.k. Kila siku yanaibuka kama uyoga lakini kwa ubora wa chini. Andiko hili linatokana na habari...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

    Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika. Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa wanyonge timu kutoka nje ya nchi zilikuja na kujibebea pointi na kuondoka zao. Hivi sasa kuna klabu gani...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
Back
Top Bottom