serikali

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza eneo la Shishi Food livunjwe ndani ya siku 3 kutoka leo

    Mchana wa leo Januari 18, 2023, msanii na Mfanyabiashara Shilole amelazimika kulivunja eneo lake la Biashara la Shishi Food iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kupokea Barua ya Maelekezo kutoka Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni iliyomuelekeza kuondoa biashara hiyo kwenye eneo iliyopo ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Bonde la Usangu

    Hello Tanzania! Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia. Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila...
  6. JamiiForums Tanzania Dismas Ten ulitaka kutufanyia Mtima Nyongo Yanga, huwezi shindana na Serikali wewe

    Nawaambia Yanga ni Taasisi kubwa sana. Asilimia 80 ya Wana CCM ni Yanga na Chama ni Yanga. Huyu Dismas alitaka shindana na Nchi. Kiko wapi?
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yadai Ndege zinazotua viwanja vya ndani ya Hifadhi zinabeba Watalii

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imesema ndege zinazotua na kuruka katika viwanja ndani ya hifadhi zinasafirisha watalii kutoka Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Abeid Amani Karume, Zanzibar. Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

    Ndugu zangu watanzania, Kuna kipindi kulikuwa Kuna washangaza wazalendo wengi Sana juu ya Uvujaji na usambaaji wa Siri na Nyaraka za Siri za serikali, watu walikuwa wanaona fahari kuvujisha Siri za serikali na Nyaraka za serikali, ilikuwa Ni kawaida kukuta na kuona mitandaoni habari nyeti za...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyohusika na ajira inapozuia watu kujiajiri

    Pana magari almaarufu usiku kwa usiku. Haya ni haramu kwa mujibu wa sheria japo abiria wanaoyahitaji wapo, tena wengi tu. Pana magari Hiace yanazuiliwa kusafiri umbali zaidi ya km 100. Haieleweki ni kwa mujibu wa kigezo kipi, japo abiria wenye kuyahitaji wapo na aliyeyatengeneza hana ufahamu wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

    Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani. Ajira si jambo la kufanyia mzaha. Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo...
  12. JamiiForums Tanzania Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku utazamaji wa tamthlia hapa nchini

    Inasikitisha sana mtoto wa darasa la saba kutofahamu historia ya nchi yake. Juzi nilimsikia kiongozi mmoja wa serikali akiwahoji baadhi ya wanafunzi maswali mepesi kabisa lakini wakashindwa kujibu. Ni aibu kubwa sana mwanafunzi wa darasa la saba anayetarajia kufanya mtihani wa kitaifa miezi 8...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke BRT Dodoma & Mwanza etc

    Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa...
  15. JamiiForums Tanzania Usajili wa ‘Kanisa la Neema’ uchunguzwe

    Siandiki ili kupinga uanzishwaji wa makanisa, naandika jambo ambalo kama halitashughulikiwa mapema, kuna siku litaleta matatizo, tena yawezekana yakawa matatizo makubwa sana. KANISA LA NEEMA la mume wake na grace zoazoa vipodozi, limekuwa kero, linatukana na kupotosha Biblia na amekuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaiva ujio wa ndege tano zilizonunuliwa na serikali

    Ndege mpya moja kati ya tano ambazo serikali iliahidi itazinunua, inatarajia kuwasili nchini Machi au Aprili, huku nyingine nne zilizobaki zikitegemewa kuwasili nchini kwa nyakati tofauti mwaka huu. Aidha John Nzulule, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) anasema maendeleo ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. 👇
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini kipaumbele cha serikali chini ya Rais Samia na CCM kwenye Sekta ya Elimu?

    ▶️Ni kweli kabisa kuwa, katika Sekta ya Elimu serikali imeelekeza nguvu kubwa sana kwenye ujenzi wa madarasa katika Elimu msingi na Sekondari na vyuo vya kati na kuyaacha au kusahau maeneo mengine muhimu ktk Sekta hii ambayo kiuhalisia ndiyo yanayobadilisha mindset ya mwanafunzi ktk tendo la...
  20. JamiiForums Tanzania Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…