serikali

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie uwezekano wa kutoa mikopo kupitia halmashauri kwa mtu hata mmoja mmoja badala ya kulazimishwa kuwa katika kikundi

    Ndugu zangu watanzania, Mfumo uliopo kwa Sasa juu ya pesa za halmashauri zinazotolewa Kama mkopo kwa vijana kutokana na makusanyo na mapato ya ndani unataka vijana au akina mama au watu wenye ulemavu kuweza kujiunga au kuunda kikundi cha kijasiriamali ili kuweza kupatiwa mkopo, ambapo hapa kuna...
  3. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  4. Execute

    JamiiForums Tanzania Serikali ihamishe nusu ya wakazi wa Zanzibar iwalete Tanganyika na kuhamishia watanganyika kule kuuenzi Muungano

    Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa. Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni Milioni 4, na serikali inalipa! Tunapigwa hapa

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli. Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni Bado mtoto...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yajipanga kuongeza walipa kodi

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha sekta binafsi inayoiwezesha nchi kukuza uchumi na kupata maendelo. Dk Mwigulu aliwaeleza washirika wa kongamano la kodi Dar es Salaam jana kuwa watanzania wanatakiwa kutafakari uhusiano uliopo...
  8. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Serikali isipochukua hatua zaidi tunakoelekea ni kubaya

    Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  10. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Kingereza kuwa lugha ya kujifunzia kwa ngazi zote za elimu nchini

    Hello Tanzania! Habari unayo trend huko kwenye magazeti ya Kimataifa Ni kuhusu lugha ya kingereza kufanywa ndio ligha rasmi na ya lazima ya kufundishia kwa Ngazi Zote za Elimu hapa Tanzania. Je hii Ni kweli? Mamlaka husika mnasemaje? Na Kama ndivyo Nini hatma ya Kiswahili ambacho kimekuwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

    1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru. 3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Taifa linasubiri serikali mpya aliyoahidi Rais Samia

    Mwezi mmoja umepita toka Rais aliposema kwamba anataka kufanya mabadiliko - labda mabadiliko makubwa katika Serikali yake. Nadhani watu wote wanalitazama hili jambo kwa mtazamo chanya ambapo wanatumaini litakuwa na lengo la kuboresha kazi.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Maafisa Elimu Wilaya na Mkoa, utitiri wa mitihani mnahujumu ufundishaji na ujifunzaji?

    Wanajamvi, nimejaribu kufanya uchunguzi wangu nimebaini viongozi wa wanaosimamia elimu yani ma REO na ma DEO ndio chanzo cha wanafunzi kufanya vibaya kwa sababu ya utitiri wa mitihani yao wanayolazimisha ifanyike karibu kila mwezi kwa shule za msingi na sekondari na kuzitafuna siku 194...
  15. Kakati

    JamiiForums Tanzania Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kazi ya Serikali si kutengeneza ajira?

    Rais Samia Suluhu kaika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Januari, 2023 Amezungumzia mambo mengi lakini pia amegusia suala la ajira kwa vijana na kusema "Nataka kuwaambia, kazi ya serikali...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya Serikali si kutengeneza ajira bali kuweka mazingira mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo katika kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi. Amesema Mapinduzi ya Kisiasa tumeshajikomboa, kuanzia 64 mpaka leo siasa imetufikisha mbali sana, lakini Mapinduzi ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii bado ndio mapambano...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

    Wenzetu Nigeria wasiocheka na nyani! Bodaboda ni kero, side mirrors kuvunjwa, kukwaruzwa barabarani, hata wizi wa kushtukiza. Serikali iamke toka usingizi wa pono!
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyara za serikali za maliasili na vidhibiti polisi hazilindwi

    Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na chochote unacho chagua. Baada ya hapo nilipita ghala moja la pembe za ndovu liko mali asili nako hakuna...
Back
Top Bottom