serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  2. Zgerald95

    JamiiForums Tanzania Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli serikali imerudisha retention fees ya bodi ya mikopo? Ukweli ni upi?

    Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE Anaandika, Robert Heriel. Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

    Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu. serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Serikali itumie huduma ya ujumbe mfupi wa simu kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali

    Dah serikali zetu hizi bhana Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka. Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa...
  11. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania NECTA kwa kushirikiana na serikali naona mnaenda kuizika rasmi elimu ya Tanzania

    Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanasiasa: Kati ya Shetani na Binadamu nani ni baba wa Uongo?

    Inadaiwa Shetani alimdanganya Eva pale katika bustani ya Eden, alimdanganya nini? Ni nani aliyemuambia Adam kwamba yu uchi baada ya kula tunda alilokatazwa na Mungu asile? Yawezekana shetani anasingiziwa mengi. Maoni na Majawabu tafadhali!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Kafulila ni kumsaidia Mwigulu Nchemba

    David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango. Majukumu ya Idara ya PPP: 1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
  14. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

    Habari ndugu wapambanaji.. Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli? Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa.. Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

    Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
  16. Ntunzima

    JamiiForums Tanzania Serikali andaeni mfumo wa kudhibiti wizi wa pikipiki

    Waasalamu Wakuu. Kumetokea wimbi la wizi wa pikipiki za vijana wetu ambao wamechagua hiyo kazi kujiingizia kipato. Hali inazidi kuwa mbaya maeneo mbalimbali mpaka inaonekana kuendesha boda boda ni kazi ya hatari. Lakini wizi huu umetokana na serikali kushindwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  18. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kongamano la kwanza la kodi kitaifa, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2023 jijini dar es salaam katika ukumbi wa JNICC

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kasema kosoeni serikali, Ndugai alipokosoa nini kilifuata?

    Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana kasema huenda chawa wake watakuvamia ukitumia matusi kumkosoa, mbona Ndugai alipomkosoa alishirikiana...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo tupe msimamo wa serikali juu ya lumbesa katika zao la vitunguu

    Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu. Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
Back
Top Bottom