Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu.

Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za walio wachache na Kunyima mfumo wa Uaminifu ndani ya Mahakama.

Miongoni mwa waliopinga mapendekezo ya Netanyahu ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu, Esther Hayat, na Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo.

===============

More than 80,000 Israeli protesters have rallied in Tel Aviv against plans by the new right-wing coalition government to overhaul the judiciary.

The reforms would make it easier for parliament to overturn Supreme Court rulings, among other things.

Protesters described Prime Minister Benjamin Netanyahu's proposed changes as an attack on democratic rule.

It follows the instalment of the most religious and hardline government in Israeli history.

Rallies were also held outside the prime minister's residence in Jerusalem and in the northern city of Haifa, local media reported.

One group of protesters clashed with police while attempting to block a major road, Ayalon highway, in Tel Aviv.

Critics say the reforms would cripple judicial independence, foster corruption, set back minority rights and deprive Israel's court system of credibility.

Banners referred to the new coalition led by Mr Netanyahu as a government of shame.

Among those opposed are Israel's Supreme Court chief justice, Esther Hayat, and the country's attorney-general.

BBC
 
hiyo katiba yao lazima tuuiigee. hatuna haja ya mchakato
 
Back
Top Bottom