serikali

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nijuavyo moja ya Kazi ya Rais na Serikali yake ni Ujenzi wa Miundombinu Bora ya nchi, sasa magoti ya kumshukuru yanatoka wapi?

    Baadhi ya wabunge na madiwani wa mkoa wa Njombe wamepiga magoti kumshukuru Rais Dkt @SuluhuSamiakwa namna ambavyo ameguswa na matatizo ya barabara za mkoa huo na kutoa fedha za kuzijenga. Hatua hiyo imeongozwa na mbunge wa Makambako, Deo Sanga maarufu Jah People. Chanzo: ZAMARADI TV Hivi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali "imevilazimisha" vyombo vya habari viripoti habari nzuri pekee za watawala wa CCM?

    Kwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi. Huwa wanavitumia vyombo vya habari kama "watchdogs" vyao Kwa kuwa huwa wanakosoa, Ili serikali Ione mapungufu yake...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

    Ndugu Zangu, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu. Rais Samia...
  6. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema imeanza kutathmini kuhusu Mahabusu, Wafungwa Kupiga Kura

    Siku chache baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu kuwa mahabusu na wafungwa wa vifungo vya kawaida wana haki ya kupiga kura kuwachagua viongozi, Serikali imesema inaifanya tathmini kuona kama kuna hatua zaidi inazoweza kuzichukua kuhusiana na hukumu hiyo. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Babati

    Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara. Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kukutwa na kichwa cha tembo kikiwa na meno yote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Akizungumza na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na mfumo wa boarding school

    Tuanze kuelewana, Elimu ni gharama sana, hasa ukiongelea hizi shule za sekondari za boarding zinazoendeshwa na serikali. Serikali kuendesha shule za boarding kwa sasa imeshapitwa na wakati. Shule zote za serikali zilitakiwa kuwa za day (mchana tu) na hii itasaidia kila mkoa kuzitumia shule...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

    Ndugu zangu , Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Magereza akutwa akiuza Dawa za Serikali kwenye 'Pharmacy' yake

    Mtumishi wa Jeshi la Magereza wilayani Mafia Mkoa wa Pwani (jina limehifadhiwa) anadaiwa kukutwa akiuza dawa za Serikali katika duka lake binafsi kinyume na sheria, kanuni na maadili yanayohusika na utoaji wa huduma za afya. Hayo yalibainika jana baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...
  16. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yazuia vifaranga 62,730 vilivyoingizwa nchini kutoka Ubelgiji

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja na cheti cha afya. Vifaranga hivyo ambavyo ni mali ya kampuni ya Phoenix Farms Limited ya Mkuranga...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
Back
Top Bottom