Je, Serikali ya Awamu ya sita ni Tawi la Serikali ya Awamu ya Nne?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.

Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.

Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
 
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne. Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Je hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Pigia kabisa mstari. ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Hilo ulilouliza ni jibu. Na siyo swali. Na hata huu mgao wao wa umeme wa sasa, unaweza kuta una jambo nyuma ya pazia. Muda si mrefu utashangaa akina IPTL, Agreco, Richmond, Dowans, Symbion, na wengineo wengi; wamerejeshwa kinyemela.
 
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.

Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.

Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Wewe unaonaje?
 
.
. . .

... SEKTA BINAFSI ikifa inamaanisha uchumi wa nchi ni mfu pia!
... mtoa mada inaelekea wewe ni miongoni mwa waajiriwa wa serikali wahafidhina, washamba, mnaoamini uchumi ni mzuri pale tu kila MTU mchini Hana fedha ili vimishahara vyenu viwafamye miungu-watu!
TUIWEZESHE SEKTA BINAFSI ILI TUONGEZE AJIRA NA KUINUA UCHUMI WA NCHI?
 
Na hata huu mgao wao wa umeme wa sasa, unaweza kuta una jambo nyuma ya pazia. Muda si mrefu utashangaa akina IPTL, Agreco, Richmond, Dowans, Symbion, na wengineo wengi; wamerejeshwa kinyemela.

Ni suala la muda tu. Msemaji wa Tanesco alikiri kuwa kuna upungufu wa umeme thats why umeme unatolewa kwa mgao.

Sasa Ile kauli ya Waziri Biteko kuwaambia Tanesco wafanye wafanyavyo ili umeme upatikane hapo ndiyo mission inaenda kutimia, utasikia ishu ya dharula ya umeme, hapo ndiyo hao wakina IPTL na Symbion ndiyo wata take advantage.

Hili draft linachezwa kwa ustadi mkubwa na mafisadi. Watu wanataka kurudisha pesa zao.
 
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.

Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.

Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Ndiyo ni tawi na zote za hovyo
 
Kwani kale kakubadilishia stesheni amekashika nani?
 
Back
Top Bottom