serikali

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma majengo ya Serikali ni mbaya na yanaendeshwa kwa hasara

    Sidhani kama Serikali imelenga kufanya biashara kwenye miradi yake hasa majengo yake. Mfano jengo la NHC HOUSE posta wameweka gharama kubwa sana kwa wapangaji ama wafanyabiashara kiasi kwamba jengo hili ofisi nyingi hazina watu. Nafikiri serikali ingefanya mapitio kwenye ofisi zake kutazama...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi Taasisi za Umma na Mashirika ya Serikali

    Uwazi unamaanisha uaminifu, maadili na uwajibikaji ambao serikali na mashirika ya umma wanapaswa kuwa nao ili kuwafanya raia kujua taratibu na shughuli ambazo uwekezaji wa kiuchumi unafanyika. uwazi na upatikanaji wa habari kwa umma Inahusisha kufanya maamuzi ya serikali mfano teuzi, sera na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

    Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari. Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF pangeni kima cha chini cha viingilio viwanjani

    Mpira ni pesa, kutunza uwanja wa mpira na miundombinu yake ni ghali sana, lakini hata gharama za kuendesha timu na kuandaa mechi ni kubwa sana. Mpira wetu umekuwa sana, unakusanya wachezaji wakubwa wa nchi mbalimbali. Kutokana na ukweli huu hata Watanzania wanaotaka kwenda kuangalia mpira...
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

    Friends and Enemies. Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe. Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

    Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa serikali: Tungekuwa na wanasheria weledi habeas corpus ingetupeka mahakamani

    CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha...
  14. JamiiForums Tanzania Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali

    Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali Shida ni nini!? serikali ,watu wenyewe wa kagera, ukanda, ubinafsi au laana?
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali 3, watumishi 0. Mpira umebaki dk 7

    Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iboreshe usafiri wa anga Ili kupanua wigo wa usafiri na usafirishaji nchini

    Constantine J. Samali Mauki Utangulizi Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya kutoka 80% hadi 50% ifikapo 2030

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

    Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…