serikali

  1. Tajiri wa kinyankole

    Nashangaa Serikali na Bunge kununa kisa Wananchi wazalendo wamepinga mkataba wa Bandari

    Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache. Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue...
  2. Roving Journalist

    Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  3. Kimbesa11

    Nitafurahi kuona/kusikia serikali imeweka muundo wa kiutumishi kwenye master degree

    Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine. KAZI IENDELEE
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Imeanzisha Mifuko na Programu za Uwezeshaji kwa lengo la Kuwawezesha na Kuwainua Wananchi Kiuchumi Wakiwemo Wanawake Wasiojiweza.

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI IMEANZISHA MFUKO & PROGRAM KUWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WASIOJIWEZA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda Na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema Serikali imeanzisha mifuko na programu za uwezeshaji kwa lengo la kuwawezesha na kuwainua wananchi kiuchumi wakiwemo...
  6. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  7. winnerian

    Ninaionya Serikali katika kuingiza siasa kwenye Mashirika na Wakala zake mbalimbali

    Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi. Kubadilisha watendaji wakuu kwenye taasisi, mashirika na wakala tendaji za serikali kwa vipindi vifupi vifupi ni kuingiza siasa kwenye uti wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Serikali Ifanye Usanifu wa Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara

    MBUNGE ABUBAKAR ASENGA ATAKA SERIKALI IFANYE USANIFU MABONDE YA UMWAGILIAJI YA IFAKARA Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro, Abubakar Asenga katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni tarehe 13 Juni, 2023 ameiomba Serikali kuyaangalia Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara "Je, lini Serikali...
  9. Baba jayaron

    Hatuwezi kupeleka Mahakamani zuio la makubaliano ya Bandari kati ya DP World na Serikali?

    Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
  10. Suley2019

    Serikali kuichunguza hospitali iliyothibitisha kifo cha bibi ambaye baadaye alijulikana yupo hai

    Serikali ya Ecuador imeanza kuichunguza hospitali aliyokuwa akitibiwa bibi mmoja ambaye alitangazwa amekufa lakini aliamka ndani ya jeneza Ijumaa iliyopita. Bella Montonya (76) ambaye madaktari walithibitisha kifo chake aligundulika yupo hai baada ya mtoto wake kusikia kelele zikitokea kwenye...
  11. Chachu Ombara

    Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  12. gstar

    Mkataba baina ya serikali na DP World kielelezo cha ombwe katika uongozi

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania imesaini mkataba na serikali ya UAE kupitia kampuni ya DP World ili kuweza kuendesha bandari zote za Tanzania kupitia kampuni hiyo bobevu katika maswala ya uendeshaji wa bandari Duniani. Walakini kumeonekana kuwepo kwa mapungufu mengi kwenye mkataba huo aidha...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka

    SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  15. R

    Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya. Hiki...
  16. Dr Restart

    Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  17. K

    Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  18. T

    Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  19. Rashda Zunde

    Mageuzi mifumo ya Serikali

    Rais Samia Suluhu amesema ndani ya miezi sita kuanzia sasa mifumo ya kiteknolojia inayoundwa na serikali itampa uwezo wa kufuatilia taarifa zote za taasisi za umma zikiwemo za bandari. Ili kukuza biashara ni lazima mifumo yote ya serikali isomane na taarifa zioane kwani mifumo iliyopo sasa...
  20. Suzy Elias

    Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu." "....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
Back
Top Bottom