Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.
Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03.
Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
Kupitia shauri la Uhujumu Uchumi namba 26/2023 lililofunguliwa Juni 2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, ambapo washtakiwa waliokuwa waajiriwa TGFA, walisomewa mashtaka 48.
Mashtaka mengine waliyoshtakiwa nayo ni pamoja na Kuendesha Genge la Uhalifu, Kughushi, Kuchepusha...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akizungumza jambo na wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kariakoo
Serikali imeongeza miezi mitatu ya notisi kwa baadhi ya wafanyabiashara na wakazi waliopanga katika nyumba za shirika la nyumba la Taifa (NHC) eneo la...
Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm.
Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe...
Kuanzia Mawaziri, Wakurugenzi na hata Wabunge wa chama chetu (CCM) na viongozi wa kichama na kiserikali wameshindwa kuiona, kuipata na kuijibu hoja ya wananchi kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye Bandari zetu. Ni mkataba kati ya Tanzania na Emirati kupitia kampuni ya DP World.
Hoja kuu ya...
Serikali imesikia kilio cha watanzania. Ilifikia WAKENYA na Wanyarwanda wanakuja Tanzania na kuingiza Mashambani kulangua mazao, mpaka kulangua mazao mabichi yakiwa shambani.
Nimeshuhudia Mnyarwanda anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa mkulima ili aje amlipe mazao. Anachofanya ni anakuja...
MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE
Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025.
Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu...
Akizungumza katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti, Utouh amesema licha Katiba kueleza kuwa Mihimili 3 (Serikali, Bunge na Mahakama) iko sawa, kiuhailisia haiko hivyo na hali hiyo imedhoofisha Uwajibikaji na Utendaji wa Mihimili mingine.
Amesema ili kuwepo kwa Uwajibikaji na Utawala Bora...
KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha demokrasia inazingatiwa katika nchi yetu. Uhuru wa kujieleza na kuandamana ni...
Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika).
Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc.
Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani.
Jamani, hivi...
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati...
Amani iwe kwenu,
Nitangulie kwa kusema sijawahi kuihisi wala kuifikiri dhamiri isiyo njema ya Rais Samia kwa Tanzania, kila nikiamka asuhuhi namuombea kwa Mungu kwa sababu kuna kitu anacho na ndio hicho Tanzania inahikitaji isonge mbele nao ni uthubutu na maamuzi magumu.
Kwangu Rais Samia ni...
Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development
Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model
US wanatumia command and market economic model
Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais
Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu.
Akizungumza na mamia ya...
Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
Hello This is a very good afternoon to everyone.
Nije kwenye kiswahili.
Hii nchii toka Mwamba toka Chato aondeke Mawaziri wamekuwa ovyo sana.
Zipo wizara ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika nchi yetu kwa mstakabili wa kukuza uchumi lkn wala hao mawaziri sijawahi kuwaelewa nini wanazifanyia...
Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi.
Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao.
Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.