serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  2. JamiiForums Tanzania Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wacheni kutembeza masuti ughaibuni

    Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu. Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu. Viongozi wetu mnaenda kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Michezo ya kubahatisha imezalisha Ajira 25,000/=

    Nimeinukuu toka kwa Millard Ayo. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema licha kufanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, ndani ya miaka hiyo pia imefanikiwa kuzalisha ajira 25,000...
  5. JamiiForums Tanzania MAONI: Serikali ihalalishe ulimaji wa bangi

    Mwezi huu tumeshuhudia mashamba ya bangi yakiteketezwa katika Bonde la moto Mara. Mbali na hapo, wananchi wamelalamika mbele ya mkuu wa mkoa wakidai ya kwamba bangi Ile ndiyo iliyowasaidia ujenzi wa Shule Pamoja na Hospital. Pia tumeshuhudia nchi nyingi zikihalalisha ulimaji wa zao hili Ili...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iondoe kesi zote ICSID na kutafuta namna ya kulipa fidia

    Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshindwa mahakamani na pengine kutakiwa kuwalipa fidia Wanufaika wa Bodi ya Mikopo

    Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia. Walichokifanya katika...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watanzania watajwa kwenye orodha ya Magaidi 35 wanaotafutwa na Serikali

    Wizara ya Mambo ya Nje imetoa orodha ya Washukiwa 35 wa Ugaidi wakiwemo raia wa Tanzania, Somalia, Ujerumani, Uingereza, Bangladesh na Wakenya ambao wanatafutwa na Serikali kutokana na kuhusishwa na mashambulio ya Kigaidi yaliyotokea katika Kaunti ya Lamu. Washukiwa hao wanahusishwa na utegaji...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mjitafakari

    Siku hizi mjini Kuna kasumba ya viongozi wetu wanasiasa, kazi Yao ni kukera wananchi. Nasikitiswa na hivyo vitendo wanavyovifanya. Kuna serikali ya awamu ya Nne, Tano na Sita. Asilimia 98 ya watendaji ni wale wale, yaani ndio waliotenda hizo awamu zote. Lakini kinachosikitishwa ni kuwa madudu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  13. JamiiForums Tanzania Tff na serikali , hakikisheni,mageti yanafunguliwa mapema ,hatutaki Tena habari za mabomu na kupiga watu bila sababu

    Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila sababu tutakuja kutoka na roho ya mtu ! Nimewapa onyo mjifanye wajuaji ,
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute leseni za usafirishaji waliogoma Mbeya

    Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri. Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iwahamasishe wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa na makazi bora

    Lindi na Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo wananchi wake wana uhakika wa kupata fedha za pamoja tofauti na baadhi ya mikoa. Kuna msimu wa ufuta, vijana hupata mamilioni, msimu wa korosho wazee pamoja na vijana hupata mamilioni, msimu wa mbaazi pia huwapa mamilioni wakulima baadhi. Ila makazi...
  16. JamiiForums Tanzania Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

    Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa. Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu El niño Je athari za Mivua hizo Ni za wananchi Peke yake ? je miundombinu ya serikali Kama Madaraja na Tanesco wamejiandaaje?

    Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana.. Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi.. Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kulea utapeli wa Madalali? Dhima ya kuwasajili iliishia wapi?

    Utapeli kwa katika ununuzi wa vitu au upangishaji wa nyuma unazidi mno kwa kipindi hiki hususan katika upangishaji wa nyumba, imefikia hatua Dalali anakuwa na Mwenye Nyumba wa mchongo na akaunti ya benki ya kitapeli kulipia pango. Serikali hebu saidia Wananchi katika hili. Nakumbuka Lukuvi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali dharimu kwa watu wake utaiona kwa matendo yake! Unalipa 75 billion harakaharaka kwa Winshear Gold Cor, kisa heti kashinda kesi?

    Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali dhalimu ni dhalimu! Harakaharaka unalipa 75 billion fidia kwa kesi ya kimagumashi?

    Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…