serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
  2. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Naiuliza Serikali, huu 'uhaini' hautawatisha wawekezaji wakiwemo DP World?

    Hili jambo la 'uhaini' lililoanzishwa na IJP Wambura na kuafuatia kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Nyagali na Dr. Slaa linanitafakarisha sana. Inaripotiwa humu na kwingineko kuwa akina Wakili Mwabukusi wamehojiwa kwa kosa la uhaini. Kosa la kutaka kuipindua Serikali au kumuua/kumdhuru Rais. Kosa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Dkt. Slaa alitoa kauli ya kuipindua Serikali wakati wa mahojiano

    Salaam Ndugu zangu, katik pitapita zangu mitandaoni hasahasa kwenye mjadala unaomuhusu Dkt Slaa nimekuwa nikikutana na clip fupi ya Sekunde zipatazo 15 ikimuonesha anatamka kuhusu kupindua Serikali. Kwa namna Clip hiyo ilivyokatwa nashindwa kuelewa muktadha wa kauli hiyo. Naombeni mtusaidie...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Shehe Ponda: Ikiwa Serikali inashindwa kutimiza Baadhi ya majukumu yake kwa Ufasaha ndivyo Itaweza Kufundisha Watoto Wetu Dini ya Kiislamu?

    10 August 2023 WAISLAM WAIKAANGA SERIKALI MTAALA ELIMU YA DINI "KUHUSU BANDARI WAMETUITA KWANINI SIO HILI". Viongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania viongozi wake Sheikh Ponda, Sheikh Kundecha, Sheila Suleiman Daudi, Sheikh Abdallah Mrisho na Sheikh Hassan Abbas wametoa taarifa...
  6. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari ya serikali Kwa wasichana Dar

    Habari Wana jamvi, Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

    Friends and Enemies, Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada. Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iingilie kati huu ubadhirifu unaofanyika Shule ya Sekondari Venance Mabeyo-Busega

    Sisi wazazi tunaosomesha watoto wetu shule ya sekondari Venance Mabeyo tulikaa kikao cha wazazi na kukubaliana kila mzazi kuchangia limu moja kwa kila mtoto ili kufanikisha zoezi la ufundishaji shuleni hapo,cha kushanga watoto wetu wamekuwa wakipigwa kila Mara wanapokuwa kwenye mitihani ikiwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Napinga Wakili Mwabukusi kuulizwa kwanini anataka kuiangusha serikali. Ni JWTZ peke yao ndio wana uwezo wa kuiangusha serikali

    Yale maneno aliyosema Wakili Mwabukusi kwamba jambo baya litatokea madai yao yasiposikilizwa, yale maneno ni vitisho tu. Tumemsikia wote Wakili Mwabukusi anasema"Wasidhani tunaleta masihara. We mean business". These are idle words, empty words, hollow words. Kwa sababu huyu Wakili Mwabukusi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  15. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  17. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu. Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida? Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

    Muvi ya kutisha na kuchosha. Kama igizo lakini ni kweli. Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?! Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote? Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
Back
Top Bottom