serikali

  1. R-K-O

    Hii misaada ya EU kukuza uchumi hakuna namna ya sisi wananchi kuwaomba directly ama wao wasimamie? Kuipa serikali zinatafunwa bila kufikia wananchi

    Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka. Ajabu ni...
  2. M

    Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  3. UMUGHAKA

    Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  4. B

    Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

    Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti: Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?! Kwa hakika na zipigwe kavu kavu! Heshima kwako peno hasegawa. Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili...
  5. M

    Taasisi zote za Serikali zihamie Dodoma

    Wananchi toka mikoa ya pembezoni mwa nchi tunaumia sana kusafuri toka Sumbawanga, Kigoma, Kagera kwenda mpaka Dar es salaam kupata huduma kwenye taasisi za serikali. Tunaomba wahamie haraka Dodoma. Ikulu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. Wao wanasubiri nini?
  6. C

    SoC03 Serikali iteketeze kichaka hiki cha rushwa barabarani

    SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI UTANGULIZI. Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia faida binafsi kinyume na sheria na kanuni ya maadili ya nchi.Pia tunaweza kusema rushwa ni fedha au...
  7. The Father of All

    Kwa bunge hili nyumba ndogo ya serikali, kwanini tusilifute au kulibinafsisha kwanza?

    Kazi za bunge lolote duniani ni kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi, Pili, ni kufanya kazi kwa niaba ya wananchi, Bunge hutoa amri kwa serikali na siyo serikali kutoa amri kwake, Tatu, bunge hutunga sheria kwa mujibu wa matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka, Nne, bunge...
  8. kibori nangai

    Laaana za Mzalendo wa Kweli zinavyoitesa Nchi na Serikali ya Bi tozo

    Hi Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato. Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
  9. BARD AI

    Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  10. Pfizer

    Wafanyakazi IPTL waendelea kuililia Serikali

    Waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameendelea kuiomba serikali iwasaidie kulipwa stahiki zao wanazoidai kampuni hiyo.Wafanyakazi hao walioachishwa kazi 31 october,2018 wamekuwa wakifuatilia stahiki zao bila mafanikio. Wafanyakazi hawa...
  11. Li ngunda ngali

    Serikali endeleeni kumchekea Zumaridi mpaka atakapoleta madhara

    Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu. Pia soma - Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa
  12. JET SALLI

    DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  13. tutafikatu

    Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

    Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti. Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
  14. Mtini

    Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  15. Mwl.RCT

    Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  16. Zanzibar-ASP

    UTATA: Majadiliano na DP world bado, lakini serikali yetu inajivunia faida za DP world!

    Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
  17. RAMAKISIMA

    SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  18. Nyendo

    Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  19. Tukuza hospitality

    SoC03 Serikali Iwalinde Wafanyabiashara na Wajasiriamali Wadogo Nchini Tanzania

    Utangulizi Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...
  20. K

    Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

    Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho. Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Back
Top Bottom